Msaada: Kuomba AVN Number kumenitoa jasho

Very poor

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
347
509
Ni matumain yangu mpo salama nahitaji msaada kwa hili.

Wakuu sijui kama ni mimi tu.

Nilikuwa najaribu kumuombea AVN number mdogo wangu nimeanza hatua ya kwanza vizuri hadi nikapewa password na username (NAVS).

Lakin chakushangaza Kila nikijaribu kulogin Ili niendelee natartibu zingne system Inaniambia password or username is incorrect, nimejaribu mpka nimetokwa na jasho.

Je, hili tatzo ni kwangu pekee au Kuna mwingne imeshamtokea, na nini nifanye Ili kuendelea na process.
 
Nenda NACTE watakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom