Na mfano umesema upo tayari kwenda popote?Dah mbona kama mashaka maana hapa wanaume wamecoment asilimia 90, ina maana akikupandisha atataka umfikie na lazima akuombe mlale NAE, je utakuwa tayari kwa ajili ya kulala na mtu kisa tu ndege? Au unafanya biashara ?
Jitafakari
Namuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane
Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.