Recent content by mimi82

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nachechemea

    akiseam kuwa"KISHERIA HARUHUSIWI MTU YEYOTE KUFANYA BIASHARA HUMU NDANI YA SEHUMU YA KIVUKO" hapo ndipo na mie jaziba yangu ilipo panda na kumfata yule askari na kumwuliza kama haruhusiwi kufanya humu ndani "HAYA MATANGAZO YA AIRTEL YANA FANYA NINI HUMU NDANI". Kunatofauti kati ya kuafanya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Mimi ngeni sana janvini labda hii ndo post yangu ya kwanza.....!lkn hili limeneuma sana na siamini kama inawezekana kutokea. For [neno baya] [neno baya]hivi nikweli kuna ofisi ya spika imejengwa jimboni kwake...!?sihoji yeye kuendelea kuwa spika lkn suala la kujenga ofisini ya spika jimboni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

    Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la TCRA kuhusu ujumbe wa simu unaomchafua Dr. Slaa

    +35 doesnt exist. However countries use the following: +350 – Gibraltar +351 – Portugal +352 – Luxembourg +353 – Ireland +354 – Iceland +355 – Albania +356 – Malta +357 – Cyprus +358 – Finland +359 – Bulgaria
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kikwete ni rais wa kwanza duniani kufanya mambo haya!

    12.Raisi wa kwanza nawa Mwisho Mkwere.
  6. M

    JamiiForums Tanzania JK....Ngoma anazimudu!!!!

    Hiyo ni Profoma invoice ambayo mwenyekiti wa kampeni za kikwete (A. Kinana) ame-present kwa waandishi wa habari kama ushahidi kwamba ndege ya serikali ambayo Dr. slaa amemtishia mama kikwete kuitumia kwa matumizi ya kumkampenia mumewe. Kinana anadai CCM iliikodi hiyo ndege ya serikali kihalali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Inauma, wanahitaji msaada

    Inaniuma na inasikitisha sana.Ona wanampokea kama mfalme. Tuache kuandika humu ndani twendeni huko vijijini tukawaeleze ukweli halisi watanzania wenzetu.Muda wa mabadiliko umewadia.
  8. M

    JamiiForums Tanzania The phone bill

    House girl huwa anampigia baba mwenye nyumba akiwa kazini.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Umeiona hii? Viongozi wapo kazini ati

    Hotuba ilikuwa inaboa.
Back
Top Bottom