JK....Ngoma anazimudu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK....Ngoma anazimudu!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, Sep 23, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  JK.jpg
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Boflo nkate laini hasa ukiula kwa maharage upo??
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Jakaya ni mkwere, ngoma na nyimbo ndio utamaduni wao ndio maana hasahau kucheza mara anapopata nafasi!!
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,963
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Cheza JK ,Cheza!
  Ukitaka kujua utamu wa ngoma sharti uicheze.
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  huyo kuliwa kwa JK siyo J. Muro?
   
 6. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hata ngoma ya usiku???
   
 7. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wizi mtupu,anatafuka kura,cheza ngoma lakini cha moto utakiona????
   
 8. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  utaanguka wewe.........au umesahau...
   
 9. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Ujana maji ya moto!
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mkuu umenichekesha na kuniondoa stress zote nilizokuwa nazo na mi ngoja nikupe kisindikizio
  ..........cheza cheeeeza Jakaya katika katika mpaka chini baby.........
  ..........cheza cheeeeeza Jakaya katika katika mpaka chini mtoto.....
  Ila asisahau watu wana hasira naye na asipoangalia cha moto atakiona.
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  paka mapepe huyo paka mapepe huyo paka mapepe huyooooooo.......
   
 12. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,955
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
 13. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ngoma inogile mpaka anafumba macho na kuuma meno mtoto wa kikwere!!
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwa nini hakucheza mwaka jana?wizi mtupu.
   
 15. m

  mimi82 Member

  #15
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  Hiyo ni Profoma invoice ambayo mwenyekiti wa kampeni za kikwete (A. Kinana) ame-present kwa waandishi wa habari kama ushahidi kwamba ndege ya serikali ambayo Dr. slaa amemtishia mama kikwete kuitumia kwa matumizi ya kumkampenia mumewe. Kinana anadai CCM iliikodi hiyo ndege ya serikali kihalali. Ichunguze na uisome kwa makini kisha tafakari haya machache

  • <LI class=MsoNormal>idara ya ndege za serikali (Tanzania Government Flights Agency) haina mamlaka ya kukodisha ndege zake kwa matumizi nje ya serikali. Je, nani anawajibika kwa ukiukwaji huu wa mamlaka? Kinana amesema, idara imekuwa ikikodisha ndege kwqa watu binafsi tangu zamani, je, nani aseme hilo-yeye au CEO wa hiyo idara? Je, wako tayari kutoa takwimu za nani na nai kakodi hizo ndege baada ya kuonyesha mamlaka ya kukodisha ndege? au biashara imeanza baada ya Dk Slaa kulipua hilo bomu? <LI class=MsoNormal>matumizi ya dola za kimarekani 3000 kwa saa kwa masaa matano (jumla dola 15,000 sawa na zaidi ya shilingi za kitanzania mil. 20) kwa mama kikwete si anasa? kwa kazi gani hasa? mama kikwete ni nani hata CCM iingie gharama kubwa hivyo? <LI class=MsoNormal>serikali siku zote imekuwa ikikataza matumizi ya fedha za kigeni kwa malipo (transactions) yoyote hapa nchini, kwa nini hawjafanya wanachohubiri? <LI class=MsoNormal>ukisoma hiyo invoice inaonyesha imetolewa tar. 28/8 na malipo yakafanyika tar. 31/8 (siku 3 baadae), je ni utaratibu kuchukua mzigo kabla ya malipo? tarehe ya profoma invoice kutolewa (28/8/2010) ndio tarehe anayotuhumiwa mama kikwete kutumia hiyo ndege, je, profoma ilitolewa siku hiyohiyo na ndege kutumika siku hiyohiyo? <LI class=MsoNormal>ni kiwewe au Mungu katufunulia kwa mtu mzito kama CEO (aliyeandika hiyo invoice) kukosea mara tatu kwenye hati moja kuandika USD 15,000 /=? maana alama ya /= inamaanisha shilingi ya kitanzania sasa which is which;shilingi 15,000 au dola 15,000?
  • ikumbukwe kwamba Kinana ana rekodi chafu sana ya ufisadi na biashara haramu (jamaa ni msomali na wasomali wanajulikana kwa magendo). Juzijuzi, meli yake imekamatwa na shehena kubwa ya meno ya tembo huko mashariki ya mbali-eti akajibu "meli yake lakini mzigo si wake"
  Watanzania wenzangu tuzinduke...nchi inatafunwa...inafilisiwa na kikundi cha watu wachache (syndicate). Hii si consipiracy theory ni hali halisi. Tusimame kuikomboa nchi yetu. Waliotutanglia waliikomboa toka kwa mkoloni mzungu...ni zamu yetu kuikomboa toka kwa mkoloni wa kitanzania (CCM)!!!

  Kwa ushahidi alioutoa Kinana, CCM imeonyesha ni mabingwa wa

  1. <LI class=MsoNormal>anasa (milioni 20 kwa masaa matano kwa Salma kwa ajili ya ulaji wa mumewe)
  2. kufoji hata risiti
  Nakusihi sambaza hii e-mail japo kwa watanzania watano wenye uchungu na nchi yao .

  Pia, tarehe 31 Oktoba usiwe na sabau yoyote ya kuacha kupiga kura!!!
   

  Attached Files:

Loading...