Inajenga nchi kwa lipi..yaan watu km ww ni wa kuchoma moto kbsa, unapigwa jua kuna hata maendeleo na umeridhika kbsa.. Watoto wako wana hasara sa kuwa na baba km ww
Nani ambaye halalamiki?? Labda fisadi, hizo kazi unazotaka wapige zipo wapi...na mfano walimu wenyewe mishahara hawalipwi sa hizo kazi unazoongelea ww zipi, labda kujiuza??? Maana unaongea km kipofu na kiziwi huoni kbsa unakoelekea...bei za kla kitu zimepanda na mishahara ipo palepale hizo kaz...
Hv wewe hivi hata unafuatilia upepo unaendaje katika nchi za East Africa...? Mseveni, Uhuru na Kagame wananizatiti kibiashara pamoja, na kama unajidanganya eti uhuru rais wako imekula kwako..TANZANIA SASA HIVI IMETEGWA SABABU YA HUYO MAGAMBA WENU MLOPOKAJI..Rwanda achana nao na km wangekuwa...
Wacha JK atusiwe kayatafuta mwenyewe, maji yasiyo kuhusu unayavulia nguo ya nn..Alitaka kuonekana anajua ndo maana huwa mlopokaji..Kagame hakuna wa cha kumfanya, na sasa hv subirini tu uchumi unavyoenda kuanguka, wenzetu wanapaa tu, cuz wanaongoza kwa akili, sio km huyo Kikwete anaendekeza...
hahaa, nani aliyekuambia ukubwa wa kichwa ndo wingi wa akili..Kikwete ni mlopokaji anaingilia mambo yasiyomuhusu, mbona Kagame yy hajaingilia mauji police wa serikali ya kikwete wanayofanya kwa raia?
Kagame hata kwa dawa hapigiki, jamaa ni kichwa ndo maana nchi yake kaiendeleza kuliko...
Kila kona ambapo Mwigulu amekiwa akienda huyu kijana wa Igunga aliyemwagiwa tindikali yupo nae..Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini anamtumia huyu jamaa, mbona zamani hatukuwahi kumsikia mpaka baada ya kumwagiwa tindikali? Ana uhakika gani kuwa ni Chadema ndio walimwagia hiyo tindikali? Mbona kuna...
Nani aliyekuambia Obama anakuletea hela, au kuja kubadili figures za uchumi wa tz kushuka...Anakuja na ataondoka na hakuna kitakachobadilika..Sa nashangaa unaposema watuonee wivu,kwa lipi hasa....? Kiuchumi km Kenya na Rwanda wanatuzidi tena mbali tu, kwa uongozi uliopo hata aje bill gates...
Mtakalia hayo hayo eti uhuru mtuhumiwa na kagame na m7 wanasubr kukamatwa..Hiyo ya uhuru sahau cuz wakenya wanampenda sana na chuki yako cdhn km inaweza badilisha hilo..Na pia kwa kagame,alipoitoa Rwanda mpk hapo ilipo, warwanda wanajua alinyo mungu wao..Kwa ww kaa tu hapo na rais wako ambaye...
Peace Tanzania! Oh! Plse..! Muulize kikwete alichokuwa anaropoka Adis Ababa hii juzi na kitatucost sana tu..Hatuwezi kushindana na hizi nchi..na balaa lingine ni kuwa zinaungana kibiashara, uchumi wetu utashuka sana na maisha yatakuwa magumu kuliko sasa..Serikali imeshindwa kutatua kero za...
Habari zenu jaman...Mimi nina simu aina ya HTC wildfire A3333, na nimejaribu kuconnect internet imekataa,ila nmekuja kugundua sina settings zake...
Nitashukuru sana kwa msaada wenu..
Eti kujuta hujui ulisemalo ww, naona una ushabiki wa bila kufikiria...Nipe case hata moja waliyowahi kufunguliwa chadema wakashindwa, au kujuta km unavyosema...Wewe mtu wa nchi gani usiyeamn hata kwa kuona...!!!!!????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.