Kwanini Tesha kakubali kugezwa Katuni wa Mwigulu?

Ukiendekeza njaa unaweza kukubali lolote hata kama linavua utu wako. Hujaona wale vijana wawili masalia wanavyojifedhehesha majukwaani kwa ajili ya mkate? Tena yule wa kike nasikia wanapasiana kama kiburudisho na yeye haoni taabu kugawa.

Haah! July Shonza!!!?
 
Mambo mengine yanachekesha sana, huyu tesha anabanikwa kw kambale mwisho wa siku atatupwa km mzoga.
 
i have been wondering..kwanza huyo KATUNI TESHA ni mchaga kweli?
Ajabu! Maana according to Nape Chadema ndio chama cha wachaga iweje kuna kada wa CCM mchaga? Au alikuwa wa Chadema huyu Tesha? Kuna mambo ya kusikitisha ila yanabaki kuwa kichekesho. Kulikuwa na clip humu ya kijana mmoja aliyekuwa CCM akieleza jinsi walivyo zulumiana mshiko sijui iko wapi. Tuwekeeni tena kwenye uzi huu ili huyo Tesha aikanushe.
 
Kama kutembea na mgonjwa majukaani ni jambo la kawaida, mbona mwakyembe hawakumtembeza hivi alipo kuw anatoka unga, au kwasababu tesha ni maskini na umaskini wake ndiyo unao mgharimu?
 
Nja mbaya sana ndugu yangu! C unajua tena na yeye mwenyewe huyu Musa anaona kama alivyo ndo mtaji wake wa kupata riziki ya kila siku.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama kutembea na mgonjwa majukaani ni jambo la kawaida, mbona mwakyembe hawakumtembeza hivi alipo kuw anatoka unga, au kwasababu tesha ni maskini na umaskini wake ndiyo unao mgharimu?
Wote njaa tupu,pamoja na Mwakyembe tena akisaidiwa na Sitta kusema ni serikali inahusika alishindwa kukomaa baada ya kutwangwa unaibu waziri. Sasa hivi kimyaaaa utadhani sio yeye, mpaka anatoa tenda za Bandarini kwa kampuni ya CCm.
 
Ukute Mwigulu akilala anamfunga jamaa kwenye mguu wa kitanda ili asimtoroke, hivi mtoto wa Nape ndiyo angekuwa amefanyiwa hivi angekubali Mwigulu amtenmbeze amdharirishe kwenye kadamnasi?
 
Ninavyosikia kijana huyu ni yatima hana baba wala mama pia hana hata ndugu wa karibu na nafasi hii ndo wanairumia CCM kwani hana msaada wowote utakaomwezesha kuondokana na fedheha hii kwani umasikini wake ndio unaomdhalilisha lakini muda ukifika ni Tesha mwenyewe atakuja kuwapa ushindi CDM katika kesi hii kwani dhamira inamsuta/itamsuta na ataweka ushaidi adharani labda wamtoe roho mapema kabla ya wakati huo kufika.
 
Wajuvi wa sheria tujuzeni. Hii inakubalika kisheria kwa mwigulu kuranda majukwaani na huyo kijana ilhali kesi ipo mahakamani?

Mambo yakiwa Magumu tumjulishe Tundu Lisu nasikia yeye huwa anawahonga maana amesoma nao, hii kitu ngumu kwetu, au unaonaje hapo jembe.
 
Huyo ndugu Tesha ni mpuuzi sana

Anafikiri Lameck atamsaidia kwa lolote baada ya kumfanyisha "catwalk" kwenye majukwaa ya SIASA!

Hamjui Lameck huyo
 
njaa mbaya
kaahidiwa uongozi na mipesa lukuki ndani ya chama
subirini 2015 kama hatakuwa dustbin.
na uchagani hatathubutu kukanyaga.
 
Kila kona ambapo Mwigulu amekiwa akienda huyu kijana wa Igunga aliyemwagiwa tindikali yupo nae..Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini anamtumia huyu jamaa, mbona zamani hatukuwahi kumsikia mpaka baada ya kumwagiwa tindikali? Ana uhakika gani kuwa ni Chadema ndio walimwagia hiyo tindikali? Mbona kuna watu kibao tu wana matatizo zaid ya jamaa na hatuhawahi kusikia wakitembezwa nao majukwaani..?
Tatizo la huyu jamaa haelewi kuwa anatumiwa tu, na ipo siku tu umuhimu wake utaisha na atatupwa jalalani..Ambacho kinazunguka katika kichwa changu ni kuwa Mwigulu anacheza mchezo mchafu sana hapa na ni kama ndio kaishika sasa hv magamba..
Picha lipo hivi, Mwigulu alitafuta vijana wa kumfanyia umafia jamaa, kwa kumwagia tindikali alaf ionekane ni Chadema..Alafu baadae hao hao Magamba wakakubaliana na jamaa watampeleka nje kupata matibabu lakini akirudi atazungushwa kusema kuwa chadema ndio walimfanyia hivyo..Maana jamaa alikuwa hana msaada wowote ilibidi akubaliane nao, na ndicho anafanya sasa..
Huyu Mwigulu ni mtu hatari sana, na ipo siku yake itafika, anadhani Mungu hamuoni anayoyafanya...
 
...siaza za mwigulu ni siasa chakavu hana jipya,kamnunua dogo wawatu kama alivyotaka kufanya kwa wafiwa na madiwani watarajiwa huko arusha...
 
Nenda kamuulize Mussa Tesha kwanini anatumiwa na M. nchemba.
Go! go! go! Mwigulu mbaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom