msaada settings za airtel internet


M

mimi2000 mayaya

Member
Joined
May 8, 2013
Messages
40
Likes
2
Points
0
M

mimi2000 mayaya

Member
Joined May 8, 2013
40 2 0
Habari zenu jaman...Mimi nina simu aina ya HTC wildfire A3333, na nimejaribu kuconnect internet imekataa,ila nmekuja kugundua sina settings zake...
Nitashukuru sana kwa msaada wenu..
 
Clarity

Clarity

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2010
Messages
1,080
Likes
607
Points
280
Clarity

Clarity

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2010
1,080 607 280
Tuna neno WAP kwenda 232
 
tototundu

tototundu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
193
Likes
2
Points
35
tototundu

tototundu

Senior Member
Joined Jul 29, 2009
193 2 35
Fanya hivi:
Settings - More - Mobile Networks - Access Point Names - Bonyeza kitufe cha Menu - New APN - Kwenye Name weka Tigoweb, APN weka Tigoweb, Save, Activate. Itafanya kazi hata kama umeweka settings za tigo kwenye Airtel. hata ungekuwa na Voda ingefanya kazi
 

Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,416