Mnajazana ujinga tu
...siku tembo watakapoisha,dhahabu,tanzanite n.k wengi sana watarudisha kadi za maccm.usidhani hizo shida hawazijui,bali lengo lao halijakamilika...
Hakuna jambo jipya wanaloongea chadema ambalo ccm haijui. Wao wanaleta potojo wakati ccm inajenga nchi
Chadema huuwa na kutekeleza uhalifu kisha wanawahi kujisafisha na kupindisha ukweli kwenye vyombo vya habari
Henry kileo kumwagia watu tindikali
Hakuna jambo jipya wanaloongea chadema ambalo ccm haijui. Wao wanaleta potojo wakati ccm inajenga nchi
Hapa ndipo ninasema, mauwaji ya kisiasa Tanzania hayatakwisha. Mtaendelea kuuwa na kudhuru ili kuhalalisha majina ya uovu kwa wenzenu; jana ilikuwa kwa CUF leo kwa chadema. Hakika Mungu mwenye haki atatuokoa na udhalimu huu! Haki itashinda.Ccm haiwezi kuchukua lolote kutoka kwa wauwaji chadema
Inasikitisha ona wakati wote kuna baadhi ya watanzania wenzangu ambao wako against vyama vya upinzani kwa kuwaona watanzania wanaoamini upinzani kuwa ni wauaji,wahuni na watu ambao hawafai kwenye jamii.Hebu tubadilikeni kuwa mpinzani siyo dhambi na wala huvunji sharia yoyote ya nchi.Rwanda na Burundi walianza kwa kuitana Mende nk.mwisho wake ukawa vita vya wenyewe kwa wenyewe leo Mtanzania ambaye ni mwanachama wa CHADEMA anaitwa majina yote ya kifedhuli sababu tu siyo wa chama akipendacho mtu mwingine.Hebu ifike mahali tuelimike tuzozane kwa hoja na si vihoja,matusi wala kuingilia undani na maisha ya watu wengine.Tusiitane MACHADEMA,MACCM au MACUF wala tusiitane MAKAFIR sababu tu tunatofauti ya imani za kidini,milengo tofauti ya vyama vya siasa.Tujadili hoja za kuwabana viongozi wetu namna bora ya kuleta maendeleo,kupiga vita rushwa ,madawa ya kulevya na mengine kama hayo.Tuache propaganda zisizojenga wala kutusaidia.
Hakuna CCM,NCCR,CUF wala CHADEMA tuamke watanzania.
Tukimaliza daraja la Kigamboni tushapiga bao! Yaani Dar CDM wasahau kabisa! Wanahangaika lakini wapi na Jimbo la Mdehe anaujua ukweli ndio maana haangaiki tena!
Chadema huuwa na kutekeleza uhalifu kisha wanawahi kujisafisha na kupindisha ukweli kwenye vyombo vya habari
Inajenga nchi kwa lipi..yaan watu km ww ni wa kuchoma moto kbsa, unapigwa jua kuna hata maendeleo na umeridhika kbsa.. Watoto wako wana hasara sa kuwa na baba km ww
Tuambie idadi ya watoto wa mwenyekiti wa CCM, haya yeye haijui, anazaa na kila mtu, na haijui condom, naamini ataondoka na wengiChadema ijisafishe kwanza kutokana na tuhuma za viongozi wake kuiba ruzuku na kwenda kuvinjari na hawara zao nje ya nchi, kuiba ruzuku na kwenda kununua majumba ulaya na dubai, kupora wake za watu na kuvunja ndoa za majirani, kung'ang'ania madaraka na kuendesha chama kama saccos/kampuni binafsi ndipo waweze kuikosoa au kuipa mawazo ccm.
Ccm ina watu wachache hapa jf kwa ajili ya kuitetea siku nzima wako kama watu watano wanaangaika hapa jf kuitetea ccm ni hatari sana ambapo chadema inasifiwa na kupendwa na watu wengi sana hapa jf
Ccm jitambueni mjue hapa jf siyo mahali pakuwasaidia nyie ccm na kurudisha imani kwa wananchi
Afadhali watanzania sasa wanaujua ulaghai wa saccos ya Mtei lol!