kwa hiyo Kawe wananchi wake ni wa daraja la kwanza?
Na sisi wengine tusioishi Kawe wala Dar ni wa daraja la ngapi
Maana umesema Kawe ina jamii ya daraja la kwanza
Mungu wangu haitaji mtu wa tatu kuniombea
Najiombea mwenyewe na ananijibu
Huu ni ushauri wa Bwana wetu Yesu Kristo
Mathayo 6:5-6
Tena msalipo,msiwe kama wanafiki, kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia,ili waonekane na watu. Amin, nawaambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.