Recent content by mimi.mimi

  1. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    hayo si nimanasa nguo au nisaidie mama yangu hali yake ni mbaya
  2. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    ingia pinterest uandike fodder system diy. utaelewa ni simple sanaaaa
  3. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    mie hutumia njia kama hiyo kwa kuku
  4. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

    Asante, Asante kinachukua muda wa miezi mingapi mpaka kuiva shamban/ kuvunwa
  5. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Njoo utufundishe kutengeneza juice zisizozoeleka

    Juice ya pera na parachichi nihatariiiiii
  6. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Marehemu wengi hurejea baadhi ya sehemu walizofia?

    Dooh!, haya
  7. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Marehemu wengi hurejea baadhi ya sehemu walizofia?

    Nisaidie hili , wiki mbili zilizo pita niliota bibiangu bibi angu kaja kwangu kutembea akaniomba nimfungulie , mie nikasita akasema kama hutaki nifungulia mimi naondoka zangu na akaondoka. Mimi niko mwanza yeye yuko bukoba. Asubuhi kulivyo kucha baba akanipigia simu akasema bibiako alikua...
  8. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njooo magu nikarb na mara
  9. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njooo magu mwanza nije geita
  10. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO MAGU NIJE GEITA
  11. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Lissu; Nia njema ya Magufuli inatupeleka pabaya

    d v
  12. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Ninajamba sana ifikapo asubuhi

    Jaribu na hii, utani pm ikikusaidia, nunua chupa ndogo ya apple cinder vinegar inauzwa 4500 , chukua glas kubwa ya maji ya uvuguvugu changanyia vizibo viwili vya apple cider kunywa kabla hujalala yaani ukisha kula ucku ukitaka lala kunywa, ukiamka pia Fanya hivyohivyo. Ukimaliza ciku mbili...
  13. mimi.mimi

    JamiiForums Tanzania Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    Mimi pia mdomoni hupata vitu Kama vipelepele Kama siku mbili alafu hutoweka
Back
Top Bottom