mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Kuna kampuni inaitwa popular cultural youth and sports organization (PCYSO) inatangaza ajira na kuwaibia wananchi kwa kisingizio kwamba wanakuja wazungu kutoa pesa Kumbe uongo wanawachangisha elfu thelathini kila anayeingia mpaka sasa kuna watanzania zaidi ya 2000 wametapeliwa hii kampuni ipo nyakato mecco mkoani Mwanza.
Kwann ofisi ya mkuu wa mkoa ipo kimya na watu wanaendelea kuibiwa je? Serikali inahusika kwenye utapeli huu?
Kwann ofisi ya mkuu wa mkoa ipo kimya na watu wanaendelea kuibiwa je? Serikali inahusika kwenye utapeli huu?