Recent content by mimi huyu huyu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni wimbo gani wa Aslay?

    Wakuu naomba kuuliza swali la fasta, nimesikia wimbo flani ukiimbwa kwa sauti ya aslay...KWELI NAWATONGOZAGAAA, WANANIKUBALIAGAA........... Naomba kujua ni wimbo gani huu tafadhali?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa: Rais atangaze rasmi watoto wa mawaziri kusoma shule za serikali

    Mkuu haupo serious....Sasa kukitengwa shule maalum (Za watoto wa viongozi) ndo itasaidia kuboresha elimu katika shule ambazo sio maalum (Za akina sisi)!!!?...., whats the difference with private school then?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha ya msanii Timbulo enzi zileeeee

    Ni wa nchi gani huyu msanii?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katarina &Hd, Comedian

    Daaaah mi nachukia sana wale wanaovaa manguo ya hovyo, au kupindisha pindisha midomo ili wachekeshe wananiudhi balaaaa.....Sjui kwa nini miaka ileeeeeee nilikuwa nacheka
  5. M

    JamiiForums Tanzania List ya massage parlour za Dar

    Ali Kiba................................Nimemtaja hapa ili hii habari at least iwe kweli ya celebrities....Haya tuendelee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayetukana ananikosha sana

    Duh
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kuhusu makalio

    Hahahah
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pongezi, nimejiviika Udiamond

    Hahaha,hambalulu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba mkwe ananiroga

    Wacha akuroge tu. Hamna namna nyingine
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi sijamuelewa mke wangu, nirudi nyumbani?

    Huyu jamaa mwenyewe sio mzima, aliwahi kusema anapenda kumuangalia mke wake akinya. Eti anapata mzuka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Sintah kwa ku 'graduate'

    Warumi wema anakutesa sana. . . Sidhani kama humuoti usiku wewe Yani hata mahali ambapo hahusiki lazma umtaje
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nakukumbuka Mwasi Taahira, Bado sijaona!

    Nadhani wewe ndio taahira wala sio mwasi wa watu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nikumbushwe: Aliyeibiwa wimbo na Diamond (Mbagala)

    Nakumbuka kuna kipindi diamond alipotoa ile Mbagala kuna msanii flani alilalamika kaibiwa naye akatoa yake inayofanana na Mbagala. . Hivi alikuwa ni nani yule? Na yupo wapi siku hizi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chege Chigunda hii Sweety Sweety ni habari nyingine

    https://m.youtube.com/watch?v=luwbbJ558gE
  15. M

    JamiiForums Tanzania Chege Chigunda hii Sweety Sweety ni habari nyingine

    Hili goma halichoshi aisee hata usikilize mara elfu. Ngoma kali balaa. Runtown na Uhuru wamekinogesha balaaaaa Kwa hili chege nimekuvulia kofia... https://m.youtube.com/watch?v=luwbbJ558gE
Back
Top Bottom