Mwanamke anayetukana ananikosha sana

Mwanamke anayetukana ananikosha sana

hilo jini la kupenda demu anayetukana linaitwa jini mange, lakini kwa kawaida linavamiaga wazungu tu, sasa wewe sijui hafkasti au vipi? 😀
 
Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu

Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.

Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.

Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.

But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...

(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)

Duh
 
Sipat picha ukitukanwa njian, na mpita njia
 
kila binadamu na mbuyu wake, huyu nae huo ndo mbuyu wake wengine tukijaribu lazima tutashindwa kuushika duuuuu!
 
Hahahahahaha aiseeee,,,,,unapenda zaid akitukana unapokula papunch Au mtaani
 
heeee jamani mmesahau kuwa leo ni karume day, tanzania tuna msiba wa kitaifa... maulidi itosemewa wapi sijui nikapate pilau leo?
 
Ungekua huku kwetu uswaz ungetaman kulala na kila mwanamke had vibibi coz hayo matusi ya nguoni ndo viunganish vya sentensi.
Ila nadhani dishi lako litakua limeyumba huko kichwani so channel zote chenga, I pit you
 
ndio maana unaitwa mchezo wa matusi! utu wa uraiani pale haupo....huwezi kutumia lugha ya madhabauni pale. Wake za watu wanapenda sana kutukanwa wakichepuka, utasikia mume ms... tu! kweli kuchepuka nako ni dhambi kubwa.
 
Dunia ina binadamu wengi kila mtu na mambo yake na shida zake.

Kwa hiyo bila kutukanwa hupati mzuka kabisa?

Hilo tatizo aiseee
Huyu Itakuwa mimba imebebewa gest kama si uwanja wa fisi ama mtaa wa wahya na na kuzaliwa ilizaluwa chooni.
 
Hahahahaha inawezekana pia. Yeye bila matusi hapati mzuka. Ana matatizo huyu sio bure
Umeonaeee lzm anawalakini huyuuu maana huyo jini kahaba lake limemmilikisha kbsaaa ahera na duniani kiasi kwamva ya ahera anayataka mpy duniani. Mungu atunusuru sisi wema na vizazi vyetu milele kizazu cha 1-4
 
Mwanamke mwenye matusi kwangu hapana kabisa.

Aliyempata huyo atakuwa amekubuhu sana, naona akili zao zinaendana kabisa.
 
Back
Top Bottom