Nahisi sijamuelewa mke wangu, nirudi nyumbani?

Nahisi sijamuelewa mke wangu, nirudi nyumbani?

Hofu na mashaka [emoji174] ni tatizo linalo kua kwa kasi sana. Tatizo hili limepelekea ndoa na mahusiano mengi kupata dhoruba kila kukicha[emoji17]
 
Zaidi ya milango mitano ya fahamu, HISIA ni mlango mwingine wenye kusaidia kujua ya mbeleni au kutambua kichacho.

Jiulize kwa nini mawazo haya unayohisi yakujie wakati huu na si wakati mwingine. Kwa maelezo yako huna "UJASIRI" wa kufumania. "Take it easy"
 
"Mmmh malizia bana si nitaonekana kituko mie" ha haa ha hata mimi ningevizia tu nij=jue nani anamfukunyua huko

kama huna amani halafu unahisi unakifua huta kufa nenda kaanze kumvizia uone nani anayemchungulia mkeo ... please please usife tu wanaume mko wachache[/
Hahahaha asijejiua bila kutegemea
 
Ha ha ha mwasi taahira, alikua anampa hambalulu
Teh teh...Jf raha sana aisee...Na kuna ile alienda ukweni kuchumbia zen akamwita demu chemba na kumuomba aanze kumtukana..Alivyoona demu anazubaazubaa akaona hamfai..akasepa


Huyu jamaa mwenyewe sio mzima, aliwahi kusema anapenda kumuangalia mke wake akinya. Eti anapata mzuka
 
Kuwa mpole kidogo mkuu. Kama kuna kichoendelea utajua tu maana haya mambo huwezi jificha milele.
 
"Mmmh malizia bana si nitaonekana kituko mie" ha haa ha hata mimi ningevizia tu nij=jue nani anamfukunyua huko

kama huna amani halafu unahisi unakifua huta kufa nenda kaanze kumvizia uone nani anayemchungulia mkeo ... please please usife tu wanaume mko wachache
Hivi unaona huyo ni mwanaume? Huyo ni mvulana kama Nuh wa Shilole kwani mpaka mke anakulazimisha kumnyoa jua wewe ni Marioooo
 
Kinachouma hata sio kuondoka nayo, kinachoumiza ni ile kuwaza tu yani vilee vilio ooh baby you are my sweet zombie analiliwa mwingine, vile vibuno kama feni mbovu anapewa mwingine, ile mi style mi ekotike anapewa mwingine, vile vibao pwaa pwaa anapiga mwingine oooshhh
Jamaa angu kimbia nyumbani kimbia haraka
Wenzenu tulikuta njumbe zinasema 'each tree has a different flavour'
 
Back
Top Bottom