Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
Hata mimi japo nilikuwa mdogo lakini iliniuma sana.Nature alionjeshwa akapagawa...Sinta was like 'imetosha chapa lapa'.....inasemekana wakati anaandika 'inaniuma sana' alikuwa anatokwa machozi mfululizo.