Recent content by milundumo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Most Famous Muslim Scientists and Their Inventions

    Sasa haowa wansayasi wenu wameleta manufaa ngani kwa ndini yenu!?? Au kuwataja tu hivyo kunatosha ,wezenu upande wa pili wa vyuo na wamezalisha ma .prof ,Dr na wasomi wengi tu but pia na nyie pia mnapata elimu kwenye hizo shule na vyuo vyao ,hivi mngekuwa na vyuo na shule km walizonazo wao c...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Nazipataje sasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania WCB kutokuwepo kwenye EATV Awards kunamaanisha nini?

    Povu linawatoka kweli c mkawambie waadaaji
  4. M

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Nikita look do kill season 2
  5. M

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Mwenyewe series ya NIKITA PLZ ,aniambie ninashida nayo
  6. M

    JamiiForums Tanzania efm sio wabunifu

    Nazani hujui maana ya ubunifu unataka wainge kuandaa tamasha ili tu mseme kuwa wanecopy na kupest ,Leo hii efm amekuja na studio inje Leo hii radio karibu zote wamekopy mf kiss FM ,Eatv ,na hao unaowasifia clouds pia walikataa kupiga mziki wa singeli wakisem ni mziki wa kihuni Leo wameona...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    Swali la msingi sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    Sasa ulifanyaje kurejesha katika hari yake ya kawaida
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    Mm natumia techno c 5 ,je inawezekana maana naongopa kutokana na maoni ya wadau kwamba aroot harafu icon za call,SMS zikapotea
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mnishauri niombe course gani NACTE?

    Pole sana rafiki
  11. M

    JamiiForums Tanzania AZAM TWO: Maisha Plus FAINALI LEO/30M za Nani?

    Azam wapo vizuri but wanakosa ubunifu na pia mkurungezi wa vipindi na uzalishaji hayuko fiti kiushindani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Majay kwa kituo bora cha TV

    Hongera yake ,kwenye dstv baado but pia Jana kupitia ukurasa wao wa inster walisema " tve wanarekebisha muonekano soon watarudi" hivyo star times subrini ila ni CH no 115 dstv ,azam na ZUKU wanakuja huko soon ,sipati picha wakiazisha sport hq kwenye hiyo TV E maana wamewajaza watu wa michezo ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uvutaji wa sigara kwa vijana wadogo umekithiri, serikali idhibiti

    Hivi unajua bei ya sigara 1 kwa sasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

    Tumeni picha bac
  15. M

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

    Mtatupa matokeo mm naona chenga tu
Back
Top Bottom