Recent content by millcent5

  1. millcent5

    Dada wa kazi ya saluni ya kike

    Dau litatokana na yeye utendaji kazi wake, kazi za salon tunalipa kutokana na utendaji kazi wa mtu, kwahiyo atafanya kazi kwa miezi 2 kwa uangalizi, ndipo atapata mkataba wa miezi 6 baada ya hapo tunaendelea.
  2. millcent5

    Dada wa kazi ya saluni ya kike

    Tunatafuta dada wa kazi za salon..mwenye ujuzi wa kusuka mitindo mingi ya kisasa.. Salon iko Tabata mwananchi Vigezo÷ Awe na umri kuanzia 18 Awe ameshafanya kazi za salon karibuni Awe karibu na maeneo na tabata Mawasiliano. 0719 346497
  3. millcent5

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Na tunda la masihara ndio tamu
  4. millcent5

    My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

    huna evidence ya kukataa mtoto...unaweza ukawa unakata kilicho chako... siku zote mama humjua baba wa mtoto. it seems huna mpango wa kuwa na mwanamke for future..so yawezekana wewe ni mvurugaji tu...ila hao wanawake unaowavuruga ni watoto wa wanaume wenzako.. jinsi unavyompenda mwanao na...
  5. millcent5

    Kilimo cha kabichi

    Ok. Thanks nitafanya hivyo
  6. millcent5

    Kilimo cha kabichi

    Habari zenu wakuu mimi ni mwajiriwa Mwanza ila nataka kuacha kuajiriwa nijiajiri, naomba mwenye kujua wapi naweza kupata eneo karibu na ziwani maana nataka kufanya kilimo cha umwagiliaji, Na pia naomba mnisaidie mawazo ni zao gani ulimaji wake hauna complication sana, as ndio naanza najua...
  7. millcent5

    Nimechukua likizo sitaki mke wangu ajue

    Mkuu we piga kazi, yani fanya kama unaenda kazini kama kawaida asijue kama unalikizo..
  8. millcent5

    Crazy things you did in secondary school

    Haaa ntafute ndugu yangu,
  9. millcent5

    Big up Rais wetu kwa kumtafutia fursa Diamond

    Kwendraaaaaaaa!huna jipya kumuita mwenzio malaya kalala na mamako???? Wivu tu nyooo kamtangaze nyokotolo wewe mxiuuuu
  10. millcent5

    Big up Rais wetu kwa kumtafutia fursa Diamond

    we mwenyewe mngese tu,wivu malaya anachata usoni kama wadogo zako wanakalia tofali hujui kutumia fursa,af ukome kidudu mtu wewe,wivu iloooo et anapoteza muda ulitaka aje akae na wewe kizibo mxiuuuu
  11. millcent5

    Fahamu utofauti wa maumivu ayapatao mwanaume na mwanamke pale wanapogundua kuwa wanasalitiwa

    Mama utafungasha kila siku,c utamaliza mitaa,we ukizinguana tu unafungasha
  12. millcent5

    BAVICHA TAIFA Yatoa Onyo na Tamko Kali!

    si mnaona mlivyo mafala badala ya kupanga mikakati ya kupambana na siasa nzuri,mnawaza jinsi ya kupoteza watu,hapo hamna mnachojiandaa zaidi ya mabom muue mseme ni ccm,we are not smart but not fak like u chadema,yani nyie ni wapuuzi ningekua msajili wa vyama ningelideletea kule hlo lichama...
  13. millcent5

    BAVICHA TAIFA Yatoa Onyo na Tamko Kali!

    baraza la vichaa(bavicha)
  14. millcent5

    Ni wakati sasa maduka ya dawa za binadamu na waganga wa kienyeji kutumia bima ya afya

    Wale wanaoelewa dawa nzuri ya kuondoa uchafu tumboni!!kuhara na kutoa visivyohitajika,naomba jina na inafanyaje kazi?
  15. millcent5

    Crazy things you did in secondary school

    Mmh kama st magret jamani,ingekua ina had fm 6 ningesema ulikua unasoma pale, jamani usipokua na nguvu unadumbukizwa kwenye sufuria, yani wapishi hawapati kazi ya kukwangua ukoko, nakumbuka watu walikua na jezi za kupigania ukoko, yanii daaa hahaa
Back
Top Bottom