kaka samahani si unajua huku hatujui gender mkuu. Sorry kakaKwahiyo Mimi ni Mama si ndiyo Mkuu? Umenikuta wakati mzuri GENTAMYCINE nimetoka kufanyiwa ' counseling ' ya Kutukuka na Roho Mtakatifu vinginevyo kwa ninavyojua enzi zangu sasa hivi ungekuwa ' umeshayakoga ' sana tu na kujuta kunifahamu.
kaka samahani si unajua huku hatujui gender mkuu. Sorry kaka
Inamaana hamko compatable mkuu, mkiwa na malengo sawa tena unamwambia kabisa Aspirin kumbuka kuna ada za watoto viatu ninavyo bwana ishi taji kwa sasa
Wiki nzima anafanya nini ukweni, siku tatu zinatosha Kabisa kuwasalimiaNani ashauri Ujinga huu, Hivi huyo mtoto ulimwokota barabarani? mbona mnakosa uungwana? wazazi wako ni wake, huo ni ubinafsi, unatakiwa ujitoe kwa mwenzako pia, Likizo ni kupumzika, na kila kitu sio pesa, unashindwaje kutoa week 1 uka kaa Kigoma, HALAFU BAADAE UNAKUJA LALAMIKA, MKE WANGU HANA HISIA NA MIMI, atakuwaje NAZO? WAKATI WAZAZI WAKE WANAMGASI KILA SIKU WAMEMMIS?
Mkuu we piga kazi, yani fanya kama unaenda kazini kama kawaida asijue kama unalikizo..Habari wadau,
Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 January, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao.
Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao huo mkwanja naukosa.
Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa - Sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks.
Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.