BAVICHA TAIFA Yatoa Onyo na Tamko Kali!

....

....parapanda ikalia parapanda na ciciemu iko jehanamu x2

attachment.php
 
Msihangaike na mamluki ambao wamekosa kazi,jambo ambalo wanalitumia ccm kuwapa pesa ma kuwadi wake halafu wanaanza kueneza habari za uongo,kweli ccm ni janga la kitaifa
 
Tactics za kihuni hizi. Mmeshashutukiwa ccm tena mshangae hakuna hata mzalendo anashtuka mshipa kwa press zenu za kuhonga. Pokeeni hela tambaeni. Wajinga nduyio waliwao
 
uchaguzi 2015 utakuwa mzuri sana hautapishana na wa Malawi na kuna hatari ya viongoz wa serikali kujiua au kuua maelfu
 
Na tutasikia mengi tu kutoka Intarahamwe! Tutegemee watakaojiudhuru uhai kama yule kibwetere wa Malawi! Watakaoingia msituni kama yule Bwana kitumbo au tumbo-mziki wa Mbinga na wengine na mengine mengi ya kuuchekesha ulimwengu huu ili uongeze life span au life expectancy!!
 
uchaguzi 2015 utakuwa mzuri sana hautapishana na wa malawi na kuna hatari ya viongoz wa serikali kujiua au kuua maelfu

si mnaona mlivyo mafala badala ya kupanga mikakati ya kupambana na siasa nzuri,mnawaza jinsi ya kupoteza watu,hapo hamna mnachojiandaa zaidi ya mabom muue mseme ni ccm,we are not smart but not fak like u chadema,yani nyie ni wapuuzi ningekua msajili wa vyama ningelideletea kule hlo lichama dengue,linaibuka bila source kama kuku aliekatwa kichwa,na tutawaongoza tu,na mtasaga magwanda hayo,si mnayaona mapya lazima yajae chawa na viraka hamkai n"goooo mkikaa ama kwa hakika nyerere na mandela wanafufuka tena wakiwa na miaka 20 ili msote fresh,,!!!!!!!!
 
Na tutasikia mengi tu kutoka Intarahamwe! Tutegemee watakaojiudhuru uhai kama yule kibwetere wa Malawi! Watakaoingia msituni kama yule Bwana kitumbo au tumbo-mziki wa Mbinga na wengine na mengine mengi ya kuuchekesha ulimwengu huu ili uongeze life span au life expectancy!!

Hapana chezeya Mungu wa Israel.

Interahamwe mwisho wao u karibu sana!
 
UKAWA kuweni makini, maana ccm watatumia kila mbinu kuwasambaratisha! Mwanachadema wa kweli hawezi kupuuza Ukawa hata kidogo, huyo ni mwanaccm aliyejivika upinzani/uchadema!
 
UKAWA kuweni makini, maana ccm watatumia kila mbinu kuwasambaratisha! Mwanachadema wa kweli hawezi kupuuza Ukawa hata kidogo, huyo ni mwanaccm aliyejivika upinzani/uchadema!

Ondoa hofu Kamanda.Mbinu zote za Interahamwe tunazo!
 
Back
Top Bottom