Recent content by Mill broh

  1. Mill broh

    Msaada namna ya ku-verified number kwenye YouTube

    https://youtu.be/ETGuCs2SIOw?si=SSj-YJ_VM9Mw17wU Maelekezo yote yapo kwenye hii video
  2. Mill broh

    Msaada namna ya ku-verified number kwenye YouTube

    Namba za Tanzania sahizi zinasumbua kuverify https://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.fanytelbusiness Tumia hio app kununua namba ya Us au ila itabidi ulipie kama 15k hivi
  3. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Upo naingia kwenye game saizi utanikuta huko
  4. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Dua👍
  5. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Saa ngapi unakuja kuchukua points zako
  6. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Man
  7. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Nikajua peke yangu nakosa penalty Sema hii phase ya pili baada ya Hazard penalty zimekua jau sana😅
  8. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Ahaa mkuu mbona sijawahi kuziona vocha za TTCL😅
  9. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Nimempata Rijkaard baadae tukutane kwenye league😅
  10. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Mwenye simu anayecheza high graphics???
  11. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Daaah sitakuwepo wakuu game linalag sana 😢
  12. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Asa ukiandika hivyo mtu ndo atataka akukamie ili akukomoe😅
  13. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Me ninae ila nikipiga blitz either hakose au nondo😀
  14. Mill broh

    eFootball Special Thread

    Kingine simu yangu takataka. Nikivuta tambo la maana ntaacha kupaki bus
Back
Top Bottom