Recent content by Milestone

  1. Milestone

    JamiiForums Tanzania Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

    Ile style ya Steven Set wa Namungo Fc, anachomekea jersey yake Kisha anaanza kutembea huku akiwapungia mkono mashabiki kwa tabasamu Kama mtu aliyelipa Kodi Jana anapokutana na baba mwenye nyumba asubuhi.
  2. Milestone

    JamiiForums Tanzania Belarus nchi pekee shughuli zinaendelea pamoja na uwepo wa mlipuko wa COVID-19 ulimwenguni

    Mheshimiwa Rais hajapata Vodka kweli hapa ?
  3. Milestone

    JamiiForums Tanzania Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

    Mwanzo umeandika Kampuni ya Simu Tanzania, soma vizuri ulichoandika.
  4. Milestone

    JamiiForums Tanzania Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

    Unazungumzia ATCL au TTCL ?
  5. Milestone

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wanne wa wizi wa mabilioni ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakamatwa

    Basi watakuwa wamepiga parefu maana ni zaidi ya milioni kama 300 hivi.
  6. Milestone

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Aisee.
  7. Milestone

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Wassira, yupo wapi Muhongo?

    Wanakula mafao ya utumishi uliotukuka.
  8. Milestone

    JamiiForums Tanzania Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

    Maana yake ?
  9. Milestone

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wanne wa wizi wa mabilioni ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakamatwa

    Hawa jamaa wamenisikitisha sana.
  10. Milestone

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wanne wa wizi wa mabilioni ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakamatwa

    Bila shaka hawa jamaa si wazima kwa kweli. Unabebaje mzigo wote huo kisha unaenda nunua magari ghafla tena hapa hapa Dar ? Unaenda nunua viwanja Dar ? Hawa si wezi Bali vichaa. Waliposhika hizo hela mikononi akili nazo zikapotea ghafla. Mbona hapo hesabu kama hazijakaa vizuri?. Jumla ya hela...
  11. Milestone

    JamiiForums Tanzania Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

    Sijui nukafungue ID nyingine ili nije nami nijitaje ?
  12. Milestone

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Cherenganya, Chifu, hakuna aliyeonesha vyeti hapa. Umeniambia hapo juu kuwa sikuwa na akili hivyo nisingeweza kusoma hiyo Sheria. Nami nimekujibu si kuwa sikuwa na akili kama ambavyo umefikiri au nilikosa vigezo bali ni kwamba nilipita njia nyingine si kwa kukosa akili bali Sheria haikuwa...
  13. Milestone

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kufanya ili kufananisha tarehe ya kuzaliwa kati ya mzazi na mtoto

    Hiyo ndo njia nyepesi kabisa. Mengine yana gharama sababu itakubidi mtu achanwe ili mtoto atolewe kisa tu kutaka siku zifanane.
  14. Milestone

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Kila muda najaribu kurudi labda ntakuta mzee anasema kuna vitu alisahau akati anasimulia hivyo ameweka mwendelezo Ila hola. Shukrani za dhati kabisa zikuendee msimuliaji kwa yote ambayo uliona vijana wako tujifunze na za pili ziende kwa mama yetu kwa kuamua kukuruhusu ili ushee nasi kumbukumbuku...
  15. Milestone

    JamiiForums Tanzania Intaneti ya Vodacom yakatika nchi nzima - Februari 23, 2020

    Ukipiga simu sijui utaishia kuambiwa umejiunga na huduma za "Hadithi" mara " vichekesho".
Back
Top Bottom