Recent content by MILEGGO LEO

  1. MILEGGO LEO

    msaada wa ipadi

    Nipm nikupe number ya simu tuwasiliane
  2. MILEGGO LEO

    Inakera sana!!!!!! Taja kero yako.....

    Unakuta umempenda binti unataka kuoa kabisa nayeye anakupenda tena anakutaka kweli lakini anajifanya hakutaki lkn anakupigia pigia simu na kukuuliza issue nyingine ili ya mapenzi hataki kuongelea
  3. MILEGGO LEO

    Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama lazima ung'oke 2015!

    Daaah,yani nilikuwa najiuliza hivi ni kwanini mapadri wanamwagiwa tindikali na wengine wanapigwa risasi sikuwa na napata majibu! lakini kwa huyo padri anachokifanya ni dhahiri kuwa anatumiwa kisiasa,yani padri mzima badala ya kumtumikia Mungu anakubali kutumia madhabahu ya Mungu kuchafua watu...
  4. MILEGGO LEO

    Kwa wanaume watu wazima tu!!!

    Pole bro, ni hali ya kawaida kutokea kwa kuwa ulishauzoesha mwil kufanya hivyo, nakushauri ikifika usiku unapokuwa kitandani peke yako, jaribu kuvuta kumbukumbu ya mambo ya kuchekesha uliyokutana nayo toka ukiwa mdogo, hiyo ni kwa kuanzia lakini endelea mbele kwa kufukiria mambo mengine zaidi...
  5. MILEGGO LEO

    Ipad 4 black, 64 gb, wifi only,used for 3 weeks inauzwa 1 600 000

    IPAD 4 BLACK, 64 GB, WIFI ONLY,USED FOR 3 WEEKS INAUZWA 1 600 000. Hii Ipad ni original kabisa imenunuliwa marekani na imewasili TZ on 7 july 2013, jamaa anaiuza kwa sababu amepata matatizo na anahitaji pesa haraka. Pia anauza laptop, HP 620, HDD 250, RAM 2GB, PROCESSOR CELERON DUAL CORE CPU...
  6. MILEGGO LEO

    Msaada wa haraka wa tshirts

    Call 0755941702
  7. MILEGGO LEO

    Kila mtu ana shida yake, na mimi hii ndo shida yangu kwa sasa!

    NINA HITAJI NYUMBA YA KUISHI DAR! Habari ndugu wanajf! Nina hitaji nyumba ya kuishi, yenye vyumba viwili au vitatu vya kulala, sebule, jiko na choo cha ndani! Iwe na ua,maji ya bomba na umeme. NITAFURAHI kama nitapata maeneo ya Mikocheni B, Sinza, Kijitonyama,Masaki, au hata Oysterbay...
  8. MILEGGO LEO

    Dean of Students nahisi ameniua.. Nifanye nini? (Party II)

    Kama hujatunga hii story kama wanaijeria basi niseme umekumbwa na mkasa wa kijasusi. Kaka handsome tuko wengi huku duniani na hatufanyi huo upuzi. Ushauri wangu kwako kama kweli humpendi kuna njia nyingi za kumjulisha kuwa mapenzi yamekwisha; mbona yeye alikuacha? Ukimwi unaweza usikue, ila...
  9. MILEGGO LEO

    ushauri pliz: Nafikiria divorce

    Kweli wewe una matatizo ya illusion; Marriage is a covenant and not a contract; upo hapo!
  10. MILEGGO LEO

    hawa ndio dada zetu

    Mi sina dada vichupi, na sitakaa kuoa mke sidiria na siwapendi marafiki skin tight na wezi wa waume za watu.
  11. MILEGGO LEO

    Jesus Christ,huu ni mwisho wa Dunia kha,Meya kufungisha ndoa ya jinsia moja leo!!!

    Duuh!!!Mungu awarehemu tu hawa jamaa wa mlengo huo.
  12. MILEGGO LEO

    Part time Data entry clerk Needed asap.

    Yeah I am interested! Nakupm sasa hvi!
Back
Top Bottom