kila mtu na ufundi wake
binafsi naamua nitumie dk ngapi 5, 15, 30, 1hr nk
ni akili yangu itakavyo
ivyo vyakula aise we wamwanzo kukusikia ukikataza watu wasitumie eti vinaua nguvu mh!
WANAUME TUWE TUNAPIGA TIZI haya mambo yatakua story tu
umeandika mseto wenye ukweli na uwongo ndani yake
kasome kitabu cha mohammed said MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYSKES utaupata ukweli
hakuna kanisa lolote lililomuandaa yeyote kuja kudai uhuru
ili ujue matokeo ya jambo lazima ulifatilie mpaka mwisho sasa ebu waulize hao watafiti wako watakuepo hadi mwisho wa dunia kuthibitisha hivyo viumbe kutokufa
hiyo ndo picha yake pilato mwenyewe au yamuigizaji ktk muvi ya kristo. msije mkampa kazi mtu wa watu kuanza kukanusha. maana watu watamchukia mitaani huko
sijaona historia ya hovyo kama ya tanganyika
yaani historia nzima tangu primary hadi university mpambanaji pekee ni nyerere tu
ajabu sana yaan huyu mtu alikua yeye ndo rais,makamu yeye, katibu yeye 😁😁
WATANZANIA TUITAFUTE HISTORIA YETU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.