Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,959
- 2,898
Habari zenu wanajamvi
Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi. Nina uzoefu katika kada ya fedha. Nimekuwa muungwana kuomba ajira za UTUMISHI mara nyingi na nimekuwa nikiitwa sana lakini hii ya mwisho imenifanyee niache kabisa biashara kichaa kama hiyo.
Haiwezekanii usaili unafanya maswali yote unafahamu unajibu ipasavyo halafu unapata mark za kijinga ambazo hukuwai hata kupata kipindi hujui hata kuandika AA unapoanza safari ya shule
Kwa taarifa hii naomba niwape UTUMISHI na viongozi wao hawatokuja kunionaa kamwe katika shughuli zao ovuuu
Natamani sana kuitumikia nchi yangu kwa weledi na kwa umakini kabisa lakini kwa hili sitokuja kuombaa tena kazi kwenuuu
Yesu amefufuka nami nitafuta account yangu kwenu maana hiyo ni biashara kichaa
Unatumia bundle, muda, gharama, unaacha kufanya kazi za mwajiri wako kwa sabbu yenuuu
Mtanisamehe kwa hilo
Nilikuwa nawaamini lkn kwa hili nimewatoa moyoniiii.
Na napenda kutoa wito kwa vijana wenzanguu msije mkajarabuuu tena
Hii biashara mtapoteza rasilimalii zenuu buree
Fanyeni mambo mengineee