msamehe mkeo maisha yaendelee,
wala usikumbushie tena kilichotokea nyuma
mpende kama ndo mnaanza ,timiza wajibu wako
tena kama baba wa familia ,jitahidi usimkosee ,wahi kurudi nyumbani etc fanya kama hakijatokea kitu mkuu,HUO NDIO UANAMUME,
HIVYO TU
Mwalimu Kaka yangu Fredy,alikuwa kanitangulia vidato 2 ,mi nipo day yeye boarding school kila akija likizo alinipiga msasa wa Mathematics mwisho niliondoka na banda O-level bila tuition yoyote.
lipi jema kuagiza gari ya miaka ya nyuma mfano 2005 lakini lina km chache au kuagiza gari la miaka ya mbele kama 2007 lenye km nyingi ? bila kuhusisha masuala ya kodi ,wajuzi watusaidie hapa tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.