Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Ukweli ni kwamba ashawahi kukucheat sema hujawahi kugundua sababu alikua makini sana. Hiyo kumkamata ni kajisahau tu au kazidiwa na huba hahahaha... Msamehe mkuu ni binadamu huyo.

Sent From Guest House
Duuh...kuna kaukweli sana kila mmoja ni msaliti tuu..

Bidada kadakwa coz za mwizi arobaini tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msamehe mkeo na ubadilike kabisa na muweke karibu kama vile mlivyo kuwa wachumba,utakuwa ume mpa somo ambalo hatokaa akufanyie ujinga tena,wala usimshilikishe mtu mwingine yoyote,rudi muite muulize mke wangu kipi ambacho ulikosa kimekushawishi kwenda kukitafuta,aijarishi atakujibu ukweli au uongoo kisha mwambie nimekusamehe,uta enjoy ndoa yako kuliko mwanzo na utashangaa
kumuacha utakuwa uja saidia wanawake ni wale wale tu ata ukienda kuoa mwingine tena uyo anakuheshimu miaka mitano ndo unaona sms samehe maisha yaendelee,iko siku hata wewe utakosea na licha ya ivyo lazima ulishawahi kumsliti ila ajui yote ni makosa kama mpenda haki kweli anza kujihukumu wewe kwa yale makosa uliyo mkosea kwa siri kisha njoo umuhukumu yeye?
NDOA INALINDWA NA MWENYE NDOA
Ushauri Safi sana ndugu mwenda wazimu
 
Trust me, one can be loyal hata kwa miaka 10, but akiamua kukucheat atakucheat tu hata kama anapata kila kitu toka kwako. Binadamu ndivyo tulivyo mkuu.
Sijakataa ndugu my qn was why aamue kucheat? hapo ndio kwenye msing wangu wanasema hakuna bahat mbaya isiyo na makusud.
 
Kwanza unatuaibisha wanaimume tunaopiga show za nguvu.
Mwanaume ambaye mke wak anaweza kutiwa nje afu ukamsamehe ni pale tu kama una kibamia. Humrizishi na huna pesa unalelewa.
 
Mkuu kuna inayozidi kuchapiwa na ukajua umechapiwa na ukaona msg ya mkeo akimsifu aliyemchapa?
Nadhani hii ndo changamoto kubwa ya pili ukiacha ya kutambua watoto uliodhani ni wako ukawalea kwa mapenzi kumbe si wako, lakini hii pia inaanza na kuchapiwa. Nieleze inayozidi hizi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuchapiwa na moja ila inayouma ni dharau baada ya kuchapiwa pale mke anapokuambia kuwa yuko tayari kwa lolote au ukagundua watoto si wako
 
Hiyo ni nafasi nawew mpige chin wanawake wapo wengi wakali balaa

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu kwa yalio jiri,ila hekima na busara inahitajika na pia ukiwa kama mwanamme nnaimani umehimili maumivu ya moyo mengi, wanawake ndio sisi na binadamu ndio sisi hakuna mkamilifu, kwanza jiulize je wewe tangu ulipokua nae ushawahi kumsaliti? umesema kua ni mwepesi kuomba msamaha pindi anapokose hata kama umekosa wewe yeye ndio anakuomba msamaha na naamini hii ndio mara yako ya kwanza kumkuta na kosa hili sisemi kua nirahisi ukimuona mpenzi wako ana Cheat ukafumba macho na kuanza upya utakua na maswali mengi yakumuliza kwanini amefanya alivyo fanya nini kilipungua,jee haridhiki na penzi lako au umeongeza few kgs huzungushi au hugongi kama mwanzo yote hayo na mengine mengi ila jibu litakua mume wangu nisamehe shetani alinipitia, nna hakika wewe ni muungwana na unataka ndoa yako iendelee,chakufanya muite mkeo kaanae chini muongee kabla hujaenda kokote akujibu kila unalotaka kumuliza,ila mwisho wa siku moyo wako ndio utaamua kama umeridhika au laaa,
kwa upande wangu ukitaka advice nadhani anastahili kupewa nafasi ya pili na huenda akabadilika,na wewe mume pia usisubiri kusifiwa kwamba uko vizuri kitandani kuna times hata mume hakufikishi ila unauliza vipi game yangu unaionaje haiwi sawa kumwambia sio yenyewe unasema uko vizuri mume wangu na hii ya leo imenitosha week2 staki tena kumbe walaa sema wanawake tumeumbiwa kuridhika,na kustahmili haimanishi ndio wewe mume kisa nimesema its enough for two weeks ndio unanipa mgongo,ebu jaribu tena uone kama sito ichekelea..

Kuacha mke kwa sbabu ya kugegedwa nje no; we hata amuache ataoa mwingine ukute ni kimeo zaidi..au ajiunge na chaputa tu sasa!

Mm jm siwez acha mke wangu kwa kugegedwa nje, kama kiapo tushaapa vingi na hatutekelezi (hasa vile viapo vya ubatizo)
 
Umewahi kumuacha bf kwa sababu alikusaliti?!


Mtu kuomba msamaha haimaanishi kuwa ndio uendelee nae unamsamehe lkn unamwambia mm siwezi kuwa naww jst like that.


Mm kuna watu tumeshaachana lkn tukikutana tunaongea fresh na hata akinitafuta kama ana shida naweza kusaidia,dunia ya leo usipokuwa na msimamo utaishi kwa tabu

So kwako huwezi ibiwa na ukajua the ukasamehe?
 
Dah ungekuwa hujazaa naye ungepiga chini lakini tatizo ni mtoto,Usimwache mwanao aishi kwenye mazingira ya mzaz mmoja huwa inawaafect sana watoto.....
So mwitie wazee wake ikiwezekana na wako akikaa na mama yake anaweza kumdokezea sababu ya yeye kutoka nje ya ndoa kwa sababu hapo kuna lazima kuna tatizo na usipolijua huyo mwanamke hawez kuacha huo mchezo wake cz kinga ni bora kuliko tiba.....
Lakini bila mtoto alikuwa ni wakupiga chini mwanamke wa hvyo ukiwa naye huwez kuwa na amani utashindwa ata kusafir safar za biashara au za kikaz cz utakuwa unahofia huku panya atatawala.Mpe onyo mbele ya wazee kuwa akirudia hakuna kukaa wala kusameheana then jikaze kama unalala na maiti ishi naye utasahau taratibu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuacha mke kwa sbabu ya kugegedwa nje no; we hata amuache ataoa mwingine ukute ni kimeo zaidi..au ajiunge na chaputa tu sasa!

Mm jm siwez acha mke wangu kwa kugegedwa nje, kama kiapo tushaapa vingi na hatutekelezi (hasa vile viapo vya ubatizo)



dah safi sana mkuu
 
Back
Top Bottom