mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,195
- 19,123
Kwa bahati mbaya haiwezekani! Laiti kungekuwa kuna uwezekano wa JK original aliyetuletea uhuru wa kuwa kiongozi wa timu yetu ya majadiliano unadhani kingetokea kitu gani?
Lkn ingependeza zaidi km wangetutajia wanatimu km tulivyotajiwa wakati wa zile kamati mbili.Bila shaka wenyeviti wa tume mbili za mchanga na baadhi ya wajumbe wake watakuwemo kwenye timu ya Tanzania kwenye majadiliano haya. Ingependeza kama jumuia rasmi za kidini eg Bakwata, PCT, nk.
mmekaa kitako kusubiri kulipwa dola bilioni 190Dah...Wangemuweka Dr Mbowe na Dr Lema ....ingekuwa poa sana😎😎🙂
Hizo zilikuwa mbwembwe za kunogesha baraza!! Kwa nini asimtaje na TAKUKURU wafanye kazi yao?!Hili ni jukumu zito sana kwa Kabudi! Tumwombee! Si mnakumbuka kuna mkubwa Fulani inadaiwa alishawishiwa kwa dola bilioni 300! Hii si sport sport ati! Na jamaa wahusika sijawahi kusikia wamekanusha tuhuma hii ya kujaribu kumhonga mkuu kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
sio lazma ujueHayo yao,sisi tunataka tujue hiyo timu ya mazungumzo ya kwetu iko na kina nani? Km hawataki kutaja basi haina haja ya mbwembwe zisizo na tija.
Aaah basi kulikuwa hakuna ulazima wa kutuambia jinsi watavyopambana. Narudia tena hayo ni yao oooh sorry ni yenu.