Wewe mwenye akili unatumia kigezo gani kwa hiyo judgement yako?.
Mimi nimetumia vigezo vya world bank maskini ni yule anae tumia below 3.65 USD per day sawa na 9300tsh na 270k+ per months hii ni world bank sio Mimi!.. Sasa mtu mwenye uhakika wa 1M hapo tayar ana bima + pension,,
Kwa siku...
Issues sio kubwa ila mnaikuza ,,nimekupa utatuzi ambayo ni 100% ,,hiyoo issue unaipeleka wizarani,, Afisa wa Elimu kata,wilaya na mkoa wameshindwa kuisolve?. Ukiwa serial killers kwa sababu ya wewe kushindwa kufata taratibu you nothing but a psycho!.
MAONI NA USHAURI WANGU KUHUSU HILI SWALA
1: Wizara ya Elimu hawatosaidia chochote sababu
(a). Hawapo field watatoa maelekezo tu Tena ya ki siasa kukuridhisha
(b).Shule zote za msingi na sekondari hazipo chini ya Wizara ya Elimu,,,Wizara ya Elimu.inahusika na sera & mitaala ,,na sio usimamizi...
Are you sure walimu ni maskini au umekalili bro ,,wengi wao now at the age of 30+ wanakwangua 1M plus per month,, Sasa Kuna maskini mwenye kipato Cha 1M per month kama take home?.
Hapa ni jamii forums home of great thinkers sio?.. Sasa mnapata wapi haki ya kuhukumu kwa kusikiliza pande moja ya mtoa mada?. Je mmeusikiliza uongozi wa shule?. . Je huyu anachosema tuna uhakika gani kua ni kweli?. What if dogo ana makosa Mengine ya kinidhamu?.
NB: kwa kukua ni kidato Cha Nne...
Hebu tuanze kwanza na Elimu yako?. Wewe umesoma wapi?. Tafta hela peleka watoto wakapande school BUS punguza wivu wa kishamba,, ,,wakifika saa 2 asubuhi shule atafagia mama ako?. Vyoo vyao adeki nani?. Tumesoma hivyo hivyo Tena shule tulikua tunafika 6;30. Shida unekimbilia kuzaa wakati bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.