Bro nna kimkeka ambacho nilibet team 43 na stake niliweka 4k ikasoma digits ambazo hadi leo nashndwa kuelewa, mkeka nikaucha yaan sikuuchungulia kwel after 1wk nikauchungulia na kukuta cashout ni 3.8m nkaomba ushaur kwa wana wakasema tusubirie hadi mwisho ila kuna mmoja alikuja akanambia niache tamaa f4 imekupa 3.8m bado unang'angana na ambacho hujui kama kitakuja toa.! Kwel nikacashout kufika saa tano usiku tukinywa manyago yetu kuangalia timu niliyokuwa naiamini imepigwa kama mtoto na sio nyingne ni man city. Washkaji tena wakaanza kunicheka ati imekula kwangu washasahau wao ndo walisema nisi cashout bahati nzur nilikuwa nishakwida 3.8. Nilichowafanyia surely hadi leo tukikutana mda wa mabapa wanahakikisha wana hela mfukoni lna yule alo nishaur nitoe alipata kalaki akapita kushoto. Sasa na wewe cashout haraka afu ubeti hiyo timu ilobaki upya.