Umeongea point saana mkuu, huku ndo kujitambua, mbona ambao hawajaolewa wako wengi sanaa,
Kwa mimi naona bora hata nitembee na mwanafunzi sio mke wa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanao reply wote ni wanaume, labda niwaulize mlijuaje kwamba dyudyu zetu hazinyandui vizuri
Nina kitambi kikubwa tuh na hizo changamoto mnazozisema kwakweli sijawahi ku experience,
Vitambi wote piga keleleeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kwa kwenda ni kwingi na kwasababu amepata D ya math, na D chemistry na D Bios hapo achague yeye tuh maana kila sector anafaa, afya, uhandisi, biashara na section nyingine almost zote ana cover
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar ukiwa huna hela lazima uone mji ni mbaya kuliko yote, ila kama pesa unayo sidhani kama kuna mji wa kufananisha, kwa ushauri wangu mleta mada jipange vizuri next time uje na pesa ya kutosha hizo kero ulizozitaja huji kuziskia
Katika kila kipengele ulicho kitaja angalia ni watu gan wana contact na wateja hua wana appearance gan, hata hospitalin mapokezi pale hua kuna wadada mashallah unapona kabla hujatibiwa wakuu
Yani wewe ndo priceless kabisa, kwahiyo ukisema hivyo basi hata watu wenye ulemavu na ufupi wa kimo waombe kazi ya kua askari wa jeshi la polisi kwa sababu nao ni watanzania pure kabisa na wana haki, open your mind mkuu sio kila kazi inamfaa kila mtu, shirika la ndege liheshimike kidogo sio mtu...
Acha upwagu wewe, sio kila mtu anafiti kwenye kila kazi, na katika vigezo muhimu kwenye kufanya kazi na mashirika ya ndege ni muonekano, kama hawana muonekano zipo kazi nyingine zitawafaa zaidi, unapoongea huo upuuzi uwe unaangalia hata makampuni yaliyoendelea wanafanyaje, yule mbunge yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.