Maelezo niliyoyapata kwa daktari mmoja ni kwamba kitambaa hakizuii virusi ila ukipiga chafya ukazuia na kitambaa inapunguza tu umbali na wingi wa majimaji yatakayotoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika jitihada za kupambana na Corona tumekuwa tukipata habari na taarifa mbalimbali jinsi ya kujikinga.
Moja ya njia zinazoshauriwa ni kufunika mdomo kwa kitambaa pale unapopiga chafya ili kuzuia usiweze kuambukiza wengine iwapo umeathirika.
Lakini wakati huo huo tunaona wataalam...
Kwa uelewa wangu wa wastani kwenye maandiko. Maombi yanatakiwa yampe utukufu Mungu, tofauti na hapo ni ngumu Sala kupokelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema kilimo ndio njia ya kupata hela bila msoto? Labda kama unalimia humu Jf lakini ukitaka kujua hali halisi waulize wakulima wa korosho mtwara, waulize wakulima wa mahindi kilichowapata misimu mitatu mfululizo iliyopita. Waulize wakulima wa tangawizi Madaba, waulize wakulima wa nyanya na...
Swala la wachezaji liko tofauti. Kuna technique inaitwa lips reading ambapo mtu anaweza kujua unachosema Kwa kusoma lips zako. Sasa chukua mfano Lukaku anamwambia Pogba tuhame hii timu halafu anasomeka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.