Migomba
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 945
- 1,339
Katika jitihada za kupambana na Corona tumekuwa tukipata habari na taarifa mbalimbali jinsi ya kujikinga.
Moja ya njia zinazoshauriwa ni kufunika mdomo kwa kitambaa pale unapopiga chafya ili kuzuia usiweze kuambukiza wengine iwapo umeathirika.
Lakini wakati huo huo tunaona wataalam wakitueleza mask zinazofaa kujilinda e.g surgical na N95 huku Mask za kitambaa zikitajwa kwamba hazina uwezo wa kuzuia virus; sasa swali linakuja kama kitambaa hakizuii virus Kuna haja gani ya kufunika mdomo kwa kitambaa pale unapopiga chafya au kukohoa?
Karibu wenye kuelewa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app