Mkuu habar samahani kama hutojali naomba nielekeze ulitumia agent gani kama ukinipa no zake utakua umensaidia sana na bajet mpaka unafika poland ilikua shngapi.
Kindly wait for ur reply
Passport nnayo na bajet nna dola 2000
Hio ngoma ipo kwenye album ya monde arabe
Humo ndani kuna ile eputsha hio ngouli
Na kuna hizi silivi embargo na porme verte hii album ya moto mpk leo kuna mawe mengi humo usisahau na respect ipo humo ndo ilibeba hio album💥💥💥
Koffi ni legend forever ..
king of tchatcho
...mm nilinusurika ilikua nyoka koboko yule kama ana rangi kahawia na mdomo wake mweusii tii...
Ilikua mida ya jioni natoka zangu kisimani sasa tulikua tunafanya kilimo cha umwagiliaji mm na washkaji zangu2 apo nmetoka shamba nmepgka vbaya mnoo
ilikua zamu yng kufata maji ya kupkia kisimani...
Forex
Mwaka 2017 ninamaliza chuo nikakutana na hilo dubwana mkuu wa kuinfluence bwana ontario...kwanza niseme ktk watu waliopata utam wa hii kitu kipnd kile tupo kwenye magroup ya wale wasouth aliewaleta ontario na mm nilikuemo niliweza kupandisha dola 100 mpaka 5000,,,kula bata club madem yaan...
Kwa kuongezea tu city ana kikosi kipana sana ukilinganisha na wenzie cheki majeruh ya de bruyne na fernandinho mendy hayakuwatetersha kabsa cheki mchezaji kama mahrez sane otamendi danilo wako benchi na hapo hatujajua watasajili nani kwenye dirisha LA usajili.cheki vikosi vya pili vya timu...
Ligi ilipofikia sasa n patam kweli ila mkuu AROON umesahau vita iliyopo kwenye kugombea nafasi 7ya ambayo MTU anaenda uropa ukiachana na hao top six vita yao ya top 4 na nafasi ya 5na6 wanaungana wa7 kwenda uropa
Hapo ndo kuna kundi LA wolves, Watford, westham,leister,bounmouth hili kundi kila...
Ongeza na uwakala wa gesi.
Ongeza vipodozi flan basic +vikacha+vichen+hereni na saa
Ongeza viatu vya kimasai/mtumba/duka vya wadada
Ongeza bites+juice dispensor+fridge+take away
Ongeza genge la kisasa na vitu basic vya duka
Ongeza vidira vijora mabaibui
Ongeza copymashine+piga passport+vitu...
Anza hivi Napoleone
Mtaji ni million 15
Nunua kirikou
Budget weka mil 7 utapata nzur tu
Nenda kwa super dealer wa gas nunua
Mitungi ya gesi
Midogo 100
Mikubwa 40
Midogo tupu 23000 ukijaza 15800 jumla 38800 × 100=3,880,000
Mikubwa tupu 42000 ukijaza 38000 jumla 80000×40=2,400,000
Jumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.