Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

Kwangu mimi wimbo wa Koffi Olomide unaoitwa ANDRADA ndio wimbo mzuri zaidi ukifuatiwa na SKOL LONGITIMA na Klkisha EFRAKATA. Hizi nyimbo huwa sichoki kusikiliza.

Pamoja na yote kwa muziki wa Rhumba hakuna kama Ferre Gola dunia hii.
Andrada na effrakata zinachosha ila loi ni moto
Unaiweza kuisikiliza asubuhi mpaka jioni.
 
Nasikitika..... Ngouli...haipo!!!!
Hio ngoma ipo kwenye album ya monde arabe

Humo ndani kuna ile eputsha hio ngouli
Na kuna hizi silivi embargo na porme verte hii album ya moto mpk leo kuna mawe mengi humo usisahau na respect ipo humo ndo ilibeba hio album💥💥💥

Koffi ni legend forever ..
king of tchatcho
 
Hapo twende kwa
Wenge music BCBG na pini lao "Kine busheee" ndani humo JB mpiana kalalamika saaaana
Halafu kuna Etepe Buengo ya hao hao miamba, ndani humo Werason Ngiama kalalama saaaana
 
Back
Top Bottom