Nina Milioni mbili naombeni ushauri jinsi ya kuboresha biashara yangu.

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,013
1,634
Habarini ndugu zangu, mimi ni mjasiliamali mdogo wa tigo pesa, mtaji ninaozungushia ni laki sita ila nimepata milioni mbili nje ya biashara yangu, nahitaji ushauri jinsi ya kuboresha biashara yangu.

Nipo kwenye frame.
Pana umeme

Mzunguko wa tigo pesa ni wa kawaida, kwani kwa siku naweza fanya miamala mpaka arobaini

Je nibuni kitu gani kingine kwenye frame yangu ila kisiwe kitu kinachouzwa kwenye duka la vyakula kwani jirani yangu Ana duka la vyakula

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vifaa vya simu mfano,protector,cover n.k
Ila hujasena mahali unapofanyia biashara.......
 
Habarini ndugu zangu, mimi ni mjasiliamali mdogo wa tigo pesa, mtaji ninaozungushia ni laki sita ila nimepata milioni mbili nje ya biashara yangu, nahitaji ushauri jinsi ya kuboresha biashara yangu.

Nipo kwenye frame.
Pana umeme

Mzunguko wa tigo pesa ni wa kawaida, kwani kwa siku naweza fanya miamala mpaka arobaini

Je nibuni kitu gani kingine kwenye frame yangu ila kisiwe kitu kinachouzwa kwenye duka la vyakula kwani jirani yangu Ana duka la vyakula

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza uwakala wa NMB, NBC, na wengine
 
Mkuu we cheza na hzi option tu
IMG_4207.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ongeza na uwakala wa gesi.

Ongeza vipodozi flan basic +vikacha+vichen+hereni na saa

Ongeza viatu vya kimasai/mtumba/duka vya wadada

Ongeza bites+juice dispensor+fridge+take away

Ongeza genge la kisasa na vitu basic vya duka
Ongeza vidira vijora mabaibui

Ongeza copymashine+piga passport+vitu vichache vya stationary
CHAGUA K1 ONGEZEA HAPO.
Kila LA kheri.
 
Back
Top Bottom