Nahamia mkoani nauza site ya duka na bidhaa zake

medicine

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
212
250
Kwa mtu anayetaka kuendeleza biashara ambayo tayari ina mizizi na wateja wa kudumu tumia fursa hii

Nina duka la vyakula na mahitaji ya nyumbani naliuza kwa sababu nataka nihamie mkoani Njoo uliendeleze biashara site ni nzuri nipo Mbagala Zakhem kodi 50 kwa mwezi bado miezi miwili
Pia nauza freezer kubwa la biashara 480,000/= na pikipiki used nzima 700,000/= tu bei ya hasara
Computer desktop aina ya Dell used 150,000/=tuu
Camera digital aina ya Sony 95,000/= tuu
Call 0769017151
IMG_20190208_183227.jpeg
IMG_20190208_183123.jpeg
IMG_20190107_221249.jpeg
IMG_20181115_220048.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,033
2,000
Bidhaa unauzaje zote pamoja ukiachana na hizo ambazo umezitaja bei tayari
 

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
925
1,000
Mkuu hapa fanya biashara uuze mzigo uishe, vinginevyo sisi ndo wateja, ukitangaza tunatoa offer unakataa basi jiandae kuvikatia nauli usepe navyo mkoa, unaposema bado zima kwan kuna mtu anataka kunuNua bovu?
Kitu kikiwa nje ya duka mkuu huwa hiyo point yako haiplay role.

Ukifika bei yangu nivhek inbox nitume mtu aje akupe hela aichukue

"Dont live like rich people living currently, live the way they lived before being rich."
Fanya basi ubinadamu kidogo; Ina maana mwenzako kukwama ndio imekuwa sherehe kwako umfilisi kabisa?
Ongea bei yenye maslahi japo kidogo na kama huwezi fika bei; Potezea wateja wengine watajitokeza!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom