Recent content by Miganga AB

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mzee anaendesha RAV4 huku kavaa Helmet za pikipiki

    Niwazo zuri sana analotembea nalo huyo mzee wetu. Maana ukizingatia ni mtu mzima na pia hali ya jambo kama hilo niliwahi kumuona Mzungu Mmoja Airport pale ni bibi mkongwe na yeye alivaa helmet, nikauliza nikajibiwa safety first. Maana unaweza ukateleza na kupata ajali kichwani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zifahamu siri za maisha

    Madini yako Ni makubwa Sana kaka hongera.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ac kwenye gari yangu

    Hapo bila shaka gari yako itakua kuna pipe inavujisha au kuna kitu kama chujio la ndani lilalohifadhi gas ya Ac limekwisha so lazima livuje na ni mafundi wachache wanaoweza kugundua hiyo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Some social rules may help you to look professional

    Obrigado, muito bem! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwenu Wanaume, Haikuwa yako ilikuwa zamu yako!

    Duh ngoja nisubirie wakubwa waje maana mie Bado najifunza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hutojutia kuangalia hiyo movie
  7. M

    JamiiForums Tanzania Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    Asante sana kaka![emoji122][emoji122]
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Nami Poa mkuu nialike kwenye hiyo mada
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye Banshee Seasons zote anisaidie nazihitaji

    Mi ninayo kama upo dar ni cheki uje uchukue
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kuja ghetto kanivulia Chupi

    Kale kamsemo Katika mtandao wa TIGO JAZWA UJAZWE naona yanakutokea sasa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dedication song

    Bambi - Jidenna
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Na nyenginezo kuna: The lastship Gotham Banshee Person of interest
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninapenda ngono kuliko kula, natamani wanawake wote wazuri niwamiliki, nina shida gani?

    Duh! Hatari sana, kuwa makini na ulichokifata hapo chuoni!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, Maisha yako yanategemea ajira pekee?

    Asante sana mkuu... Ujumbe umefika
Back
Top Bottom