Je, Maisha yako yanategemea ajira pekee?

Je, Maisha yako yanategemea ajira pekee?

Business Diversification is the key I AGREE ......inakupa another INCOME STREAM ......fikra za kutegemea ajira tu ina athari sana maisha yetu ya kila siku.....kwanza hutakuwa mkopaji na mwenye madeni siku zote hata hela unayo ipokea hatakuwa na thamani kwako kwa kuwa unategemea mshahara utoke tarehe 23 ya kila mwezi, hela ambayo ukikaa week mbili tu imeshakata huku mbele yako kuna mahitaji yani basic needs ambayo bado yana kungoja cha zaidi utaongeza kukopa.....napenda mawzo ya namna hii, wazo lako ni kuntu
 
Wazo zuri ila changamoto inakuja kwenye kuisimamia biashara. Unashindwa kujigawa au kupata muda wa kuhudhuria pande zote kikamilifu. Ukiweka wasimamizi kwenye biashara, biashara inakufa. Labda tuanzie hapa, kwamba utawezaje kumudu majukumu ya kazi wakati unafanya biashara? Tujadiliane kuhusiana na hili aidha kuna biashara ambazo hazihitaji uwepo wako kwenye biashata au ni biashara ya kutoa huduma!
 
Delegation is what most of the richest people do, they delegate hakuna uchawi mwingine, huwezi ukafanya kila kitu wewe acha shughuli nyingine wafanye ulio wajiri, mfano MO.DEWJI.ENTERPRISE ana kampuni ngapi? ana kampuni nyingi ndani na nje ya nchi lakini mbona ana generate ahuge profit kwa ku-delegates, the same ukiwa na ajira yako bado una nafasi ya kuwekeza na muda wako kazini ukawa pale pale na ukajiri pia baadae ukiona uwekezaji wako umekuwa na unaweza kujitegemea then unachana na kuajiriwa unajiajiri...

Kaa mbali sana na kasauti unako kasikia nafsini kakikuambia utashindwa, muda je itakuaje, wataniibia eh, nitaweza kweli, ngoja kwanza mpaka nitulie ndiyo nitafanya.... hivi vishawishi nafsini ni vya kukatisha tamaa kaa mbali na hiki kisauti
 
Hapa mkuu umegonga N dipo.
Wengi wetu tunaishi maisha ya unyonge, kufikirika na mwisho wa siku inakuwa ni njozi iliyopotea!
Hii kuajiriewa mpaka unazeeeka kwa kuchumia tumbo nayo inazidi kututia upofu wa kuukubali ufukara na kutojiamini.
lakini waajiri nao wanabana mno.
 
Delegation is what most of the richest people do, they delegate hakuna uchawi mwingine, huwezi ukafanya kila kitu wewe acha shughuli nyingine wafanye ulio wajiri, mfano MO.DEWJI.ENTERPRISE ana kampuni ngapi? ana kampuni nyingi ndani na nje ya nchi lakini mbona ana generate ahuge profit kwa ku-delegates, the same ukiwa na ajira yako bado una nafasi ya kuwekeza na muda wako kazini ukawa pale pale na ukajiri pia baadae ukiona uwekezaji wako umekuwa na unaweza kujitegemea then unachana na kuajiriwa unajiajiri...

Kaa mbali sana na kasauti unako kasikia nafsini kakikuambia utashindwa, muda je itakuaje, wataniibia eh, nitaweza kweli, ngoja kwanza mpaka nitulie ndiyo nitafanya.... hivi vishawishi nafsini ni vya kukatisha tamaa kaa mbali na hiki kisauti
Asante kwa ushauri wako tena
 
ujumbe umegonga mahali pake
Ujumbe ndio mzuri, shida inakuja usimamizi wa hizo projects, wafanyakazi wengi wanakosa muda wa kusisimamia kwa karibu, na ukimwachia mtu unadhurumiwa, hakuna mtu ambaye hapendi kufanya portfolio
 
Asante kwa ushauri wako tena
Ahsante pia kwa kushukuru mkuu,

kwa kweli hakuna jambo linaweza kukushinda ni MIPANGO MIKAKATI tu... Kuna watu wameajiriwa lakini wamewekeza kwenye mashamba yeye anawapa vibarua kuanzia kuandaa shamba kulima, kupanda, kupalilia mpaka kuvuna wakati huohuo unamweka kijana mmoja mwaminifu kukulindia shamba ili awe anakupa updates za shamba hili hata mimi nimelifanya naona lina enda vizuri tu, utampa kijana atakaye simamia na utakuwa unamlipa kwa mwezi pamoja na chakula unamuwekea na mifugo safi kabisa,

kuna watu wengine wanawekeza kwenye vyombo vya usafiri yani (logistics=transport) kama kwenye transit(lori) , pikipiki, bajaji, fuso, costa, mabasi ya mkoani ni biashara ambayo pia unampa mtu ambapo kwa siku anakuletea mapato... Kuna uwekeza wa aina nyingi ambao hauta leta mwingiliano na kazi zako za ofisini..
 
Vizur mkuu, ILA Kuna mambo lukuki yanawafanya watu kutegemea ajira pekee, if it was easy, everybody would do it
Africa Kuna changamoto kubwa Sana kwa Mtu kuwekeza kipato kidogo na kupata faida ya ziada na moja Yao Ni extended family.....
Mada nzur Sana, ina hamasisha kufikiri nje ya box, thanks
Extended Family ,hii ni sababu kuwa inayonikwamisha....kipato changu cha mwisho wa mwezi ni kidogo sana....nikianza kutuma nyumbani hata kwangu nabaki na hela isiyozidi lako moja ....shida tupu...
 
Mkuu ukitaka kutoka katika familia zetu yafaa kujitoa akili na kuwa na misimamo. Aliwahi kusema nick wa 2 siri ya utajili ni ubahili sasa ukisema uwe na huruma kwa kila mwanafamilia wallah hutotoka.
Ni kweli aisee, extended family ni shida!

Nadhani ndo maana nchi za Magharibi wanaendelea sana cix they have a selfish attitude. Hii inamfanya kila mtu apambane kusaka maisha na siyo kusema tu oh, nina mjomba wangu ni Mkurugenzi wa ABC...[emoji36]
 
Mkuu ukitaka kutoka katika familia zetu yafaa kujitoa akili na kuwa na misimamo. Aliwahi kusema nick wa 2 siri ya utajili ni ubahili sasa ukisema uwe na huruma kwa kila mwanafamilia wallah hutotoka.
Mkuu haya mambo ni magumu sana, yani tuna social context ambayo ni ngumu sana kujitoa ufahamu, ukiwatosa sasa, ndo utakoma....and we may take that as the opportunity as well.
 
Asante sana mleta mada, umenigusa na kunisisimua akili yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom