Recent content by Mig8

  1. Mig8

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kutumia router kwenye smart TV?

    Tafadhali naomba mawasiliano yako
  2. Mig8

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Pole sana kwa familia za askari wetu!
  3. Mig8

    JamiiForums Tanzania Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Habari hii bado haijakaa vizuri
  4. Mig8

    JamiiForums Tanzania Pata Simu kali ya kisasa kwa bei pouwa kabsa

    Nitapata Tablet inch 10.1 yenye OS ya Window?
  5. Mig8

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa matokea haya nitamsaidiaje huyu kijana?

    Medical attendant bila ufauru wa biology na chemistry? Naomba msaada zaidi wa uelewa hapa
  6. Mig8

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa matokea haya nitamsaidiaje huyu kijana?

    Asante kwa mawazo yako lakini naona bora arudie tu masomo yote
  7. Mig8

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa matokea haya nitamsaidiaje huyu kijana?

    Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri
  8. Mig8

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa matokea haya nitamsaidiaje huyu kijana?

    Kwa matokea haya nitamsaidiaje huyu kijana? Naomba mawazo yenu afanye fani gani? Civics D English D Kiswahili D Biology E Mathematical F Chemistry F Geo F Physics F History F
  9. Mig8

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tablet kwa bei nafuu

    Okey, kwa bei hiyo ni mpya au used?
  10. Mig8

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tablet kwa bei nafuu

    Nimezoea kutumia Android, lakin nahitaji na ushauri pia kama hizo iOS na Window ziko vizuri zaidi ya Android nipatie bei tafdhali na mawasiliano
  11. Mig8

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tablet kwa bei nafuu

    Wadau habari ya leo? Nahitaji kununua tablet iwe nzuri na kwa bei nafuu. Naweza kupata wapi? Naomba msaada tafadhali
  12. Mig8

    JamiiForums Tanzania Kuhusu English Test ili uweze kupata scholarship

    Niweke na mimi kwenye group 0754733854
  13. Mig8

    JamiiForums Tanzania Kuhusu English Test ili uweze kupata scholarship

    Na mimi pia 0754733854
  14. Mig8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

    Bongo vituko haviishi
Back
Top Bottom