Bei zake za simu siyo mbaya lakini binafsi sina hamu na simu za kariakoo maana ukiumwa na nyoka hata jani likikugusa moyo unaondoka au samaki mmoja akioza wataweza kuoza wote, mimi ni mpenzi sana wa simu nilinunua simu kariakoo ya bei milion 1.2 tumeikagua vizuri na wenye duka ikawa safi tukaondoka to moro kufika tumeingiza umeme kuja kuwasha inawaka na kuzimika ukicheck contact hazionekani kuingia sehemu nyingine kuna contact kibao kuwapigia wakasema walikuwa wanaijaribu tu lakini inazimika tu nauli tena rudi dar wakaikataa na risiti tunayo sokomo ikabidi warudishe pesa, je ndio umetoka katavi huko ndio urudishe simu dat
Heb weka wazi Mkuu, usije wachanganya wenye nia njema ya kufanya biashara na mimi....
Hilo tatzo ulilopata ilikuwa umenunua simu kwangu???
Na je ulishawahi kusimkia malalamiko humu nalalamikiwa kuuza simu zenye matatizo??
Na uliwahi sikia Vieloon sipo responsible inapotekea tatzo kwa mteja wngu kutokana na bidhaa aliyonunua kwng??
Kifupi ni kwamba km mtu mzima lazma utambue ktk biashara yoyote huwa kuna wale matapeli na wengine wapo seriois na biashara, by the way mimi ni mfanya biashara pia naweza kuniita mtoa huduma..maana huwa siangalii faida yang tu ila kwa wateja ambao huja na case binafsi zihusuzo Smartphones huwa nawasaidia pia.
So jua tu wauza simu tupo wengi ila km tulivyo binadamu wote hatuwezi kufanana.
Ndio maana huwa nasisitiza kuwashauri kabla hujaamua kwenda dukan kariakoo au popote kununua smartphone piga namba hii 0654776976.utatumia vocha yako kidigo tu ila itakusaidia saana, utapata ushauri wa chaguo la simu bora, utauziwa simu nzuri original ya kisasa, na utaendelea kupata ushirikiano wa kiushauri baada ya kununua maana mteja kwetu ni rafiki, zaid ya hapo ukinunua bidhaa kwangu huna haja ya kusumbuka kuja had kariakoo kwenye matapeli na wezi..unaletewa bidhaa yako popote pale ulipo kwa Dar, hata wale wa mikoani wanatumiwa pia. Kama ikitokea akakuta kuna tatzo anairudisha kwa bus inabadirishwa bila hustle yeyote. Sasa wewe mkuu ungekuwa unafuata ushauri wangu leo hii naamin usingekuwa unayaandika haya.
Kikubwa tu ni kwamba huwez washauri watu wasiende hospitali zooote kutibiwa sabab wewe ulienda hospital moja tu ukapata huduma mbovu na mgonjwa wako akafa!
0654776976.