Kuna tablet za OS tofauti tofautiWadau habari ya leo? Nahitaji kununua tablet iwe nzuri na kwa bei nafuu. Naweza kupata wapi?
Naomba msaada tafadhali
Okey, kwa bei hiyo ni mpya au used?Ipo hiyo samsung galaxy tab4 nauza tsh 250,000/=View attachment 386996
Used mkuu piga 0689341445.....achana na hizo nyingine za kichina njoo upate samsung galaxy tabletOkey, kwa bei hiyo ni mpya au used?
Mchina hana vitu original? Au ndo mwamba ngoma?Used mkuu piga 0689341445.....achana na hizo nyingine za kichina njoo upate samsung galaxy tablet
Ipo hiyo samsung galaxy tab4 nauza tsh 250,000/=View attachment 386996
7inchInches ngapi?
Android Version ngapi?
Camera?
Memory?
RAM?