Hakuna mwanadamu aliyezaliwa kwa bahati mbaya kila mwanadamu ana makusudi na kazi maalumu mungu amempa duniani,tofauti ni kwamba tunazidiana vipaji ambavyo mungu ametupa,makani ni mmoja wa wanasiasa hapa nchini ambao mungu alimjaalia kipaji na uwezo mkubwa katika medani ya SIASA,ninaweza kusema...