Kwa mambo haya serikali haina dhamira ya dhati kumaliza mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mambo haya serikali haina dhamira ya dhati kumaliza mgomo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mifumo, Jul 12, 2012.

 1. M

  Mifumo Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tulitegemea kuona serikali ikichukua hatua za dhati kumaliza mgomo lakini kwa mambo haya:
  1.kumshtak rais wa madaktari mbili
  2.kuwasimamisha kazi zaidi ya madaktari 300
  ...kikwete jiuzuru nchi imekushinda
   
 2. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  si serikali tu hata baraza la waislamu wamedhamiria kuwashitaki madaktari.Sijajua ni kivipi viongozi wa kidini kuomba wakutane na serikali ili kutafuta suluhu ya tatizo hili; baadaye siku mbili, baraza la waisilamu , bila kujali kuna kamati ya amani ya viongozi wa kidini, wanaibuka kwenda mahakamani.amani na mahakama wapi na wapi?dina na mahakama wapi na wapi, ndo maana wameng'ang'ania mahakama kadhi wahukumu kuua watu.
   
Loading...