Field ya mechanical engineering inapatikana viwanda vingi vya uzalishaji, Kuanzia viwanda vya nguo, mafuta na gesi, soda, ngano, powerplants, veta, sido, railway, kampuni za usafirishaji ie;BRT, mamlaka ya usafiri wa anga, karakana za Serikali na halmashauri, kampuni kubwa za ujenzi, kwenye...