Msaada kuhusu matibabu ya paka

Msaada kuhusu matibabu ya paka

Kama upo Dar mpele kwa Dr Senare pale migombani st utapata huduma stahiki,pole sana kwa shida hiyo Mungu atakusaidia utapata suluhisho.
 
Dah! Yaani paka ndiyo anakuumiza kichwa kiasi hicho! Mtafute Daktari wa mifugo kwa msaada zaidi.
 
Habari wana nzengo,Kwa yeyote mwenye ufahamu na hili tatizo nahitaji msaada kuelimishwa.
Paka (Nyau)wangu.
Amepata Ulemavu wa ghafla( ame paralize kuanzia kiunoni hadi miguuni.Je nimpe huduma gani ili kumsaidia?
Kama upo Dar mpele kwa Dr Senare paleMigombani st baada ya alipokuwa anaishi Rasi Mstaafu Kikwete, Mungu akubariki utapata suluhisho ya hilo tatizo.
 
Habari wana nzengo,Kwa yeyote mwenye ufahamu na hili tatizo nahitaji msaada kuelimishwa.
Paka (Nyau)wangu.
Amepata Ulemavu wa ghafla( ame paralize kuanzia kiunoni hadi miguuni.Je nimpe huduma gani ili kumsaidia?
na je chanzo ni ugonjwa kawaida au alipigwa maana wengine hupatwa na tatizo hilo kutokana na kupigwa.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Habari wana nzengo,Kwa yeyote mwenye ufahamu na hili tatizo nahitaji msaada kuelimishwa.
Paka (Nyau)wangu.
Amepata Ulemavu wa ghafla( ame paralize kuanzia kiunoni hadi miguuni.Je nimpe huduma gani ili kumsaidia?
Kuwa makini sana na mapaka hayo..unawajua toxoplasma gondii,toxicara cati na wengineo.?

Kuwa makini sana..na nyau.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom