Recent content by MID_NIGHT

  1. MID_NIGHT

    Wahudumu wa massage wanahitajika DSM

    Hauna nafasi kwa ajili ya mwanaume?
  2. MID_NIGHT

    Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    Bado sijaweza kuyavuka, nikiweza kuyavuka nitakuambia.
  3. MID_NIGHT

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Sidhani kama inapaswa kuwa hivi. Huu sasa ni unyanyasaji wa kihisia.
  4. MID_NIGHT

    Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Kuna mabrother huwa wana love sana kwa kweli mwaka juzi nilipata accident ya kufanana hivyo aliniokoa brother mmoja simfahamu hanifahamu. Mungu awaweke sana
  5. MID_NIGHT

    Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Pole sana mkuu, the next minute is not promised.
  6. MID_NIGHT

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Mbona too much attack kwa wanawake. Kutokuolewa kwao kunawasumbua nini wakuu.
  7. MID_NIGHT

    JamiiForums Usiku wa manane

    1:55
  8. MID_NIGHT

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ninaye mmoja ila amesafiri kwenda arusha
  9. MID_NIGHT

    JamiiForums Usiku wa manane

    Sana nina uzoefu wa maeneo haya Computer kuuza na kurepair Kuuza simu
  10. MID_NIGHT

    JamiiForums Usiku wa manane

    Me ndio nataka kuingia nitafute mkuu sina nalojua niwe mkweli ndio naanza! Yani sijui nifanye nini pale ili nimake. Naomba ramani mkuu
  11. MID_NIGHT

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mwenye connection kariakoo anipe wakuu...
  12. MID_NIGHT

    JamiiForums Usiku wa manane

    1:42 Usingizi hakuna
  13. MID_NIGHT

    Dar ni sehemu ya ovyo sana

    Kusema kweli, Dar ni sehemu ya ovyo sana kuliko jinsi inavyonadiwa.
Back
Top Bottom