Wazee wawili walikua wamekaa chini ya mti wakizungumza kuhusu watoto wao huku kila mtu akimsifia mtoto wake:
BABA KIBONOKA: Wewe huniambii kitu, mwanangu ana akili kuliko hata wako
BABA KIPONDO: Mwanao zero tu hana kitu
BABA KIBONOKA: Aaah! wewe humjui yule, hapa kwenyewe yupo ndani anajisomea...