"JAMANI JIRANI" episode one

"JAMANI JIRANI" episode one

mickey drizzy

Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
30
Reaction score
3
Ni Jioni Moja Tulivu Wanaonekana Jamaa Wawili Wakishuka Katika Boda Boda Wakielekea Makwao.. Katika Nyumba Moja Iliyochoka Zinaskika Saut Mbili Za Watoto zikilia.. "dady" "dady" na m1 kat ya wale 2 alipofika karibu na nyumba ile akatoka mama m1 mzur wa sura,umbo n hata nyuma pia.. na huyu si mwingne bali ni mama abdi..
MAMA ABDI; "wow mume wangu".. alisema mama abdi huku akimkumbatia mumewe..
BABA ABDI; ni historia ndefu mke wangu.. alijibu na kisha wakaingia ndani kupumzika.. huko ndani mama abdi alitaman vng sana kwa mume wake huyo ambae alipotezana nae takriban miaka 2...
kwa upande wake baba abdi mambo yalikua tofaut alikua hana hata hamu na mke wake
MAMA ABDI; mume wangu njoo tulale

" Niache nimechoka" Alijibu Baba Abdi Huku Akigeuka Pembeni Na Kulala Huku Akimuacha Mama Abdi Na Maswali.....

ITAENDELEA
 
Hii peleka mmu, hapa si mahali pake INNOVATOR please, come this way!
 
Last edited by a moderator:
Sasa mbona sio kichekesho.
Episode saa nyingine hazinogi hasa unapotegemea kitu kingine
 
kwani episode lazima iwe kichekesho. mtu akifanya pwiiiiiiiiiiiiiiiii, ushuzi kibao ndani ya nyumba si nayo ni episode.
 
Back
Top Bottom