hapana mkuu. Mimi ni kijana wa wastani. Ingawa kazi za mikono naziweza Ila sio za uzito mkubwa. Simaanishi kuwa siwezi kunyanyua kilo 50, Ila siwezi kunyanyua kilo 50 ucku kucha.
Mkuu, Mimi sio tapeli. Pia, nilichangiwa kwasababu nilikuwa kwenye shida bila njia ingine ya msaada. Pia, walionichangia walijiridhisha kuwa mm ni genuine na ndio maana wakajitolea. Kama hukuwa mmoja wao, mm sina kinyongo na wewe. Asante.
Habari ndugu zangu,
Mie nimetumikia industry ya Media upande wa Printing, Design, Social Media Management na Video Production kwa miaka 3 sasa. Nimeamua kujiajiri kwa kuwa na kampuni ya Web Design & Development, kazi ambayo inahitaji Laptop yangu tu na ninaweza kuifanyia nyumbani.
Changamoto...
Waungwana,
Kwa Mwenye kujua mahali ninapoweza kupata kazi ya zamu ya usiku au yeye mwenyewe kuniajiri nitashukuru sana.
Kazi hiyo inaweza kuwa yoyote ingawa kwa uzoefu wangu industry ya Entertainment na Hospitality ndio huwa na nafasi nyingi za shift ya usiku.
Elimu yangu ni ya chuo ngazi ya...
Wadau,
Leo mwenzenu sina ratiba kabisa. Nauliza kama hapa Dar kuna eneo mtu anaweza kwenda either na Laptop yake kwaajili ya ku buy time/hang around bila gharama yoyote kama vile kununua vinywaji, chakula au kubugudhiwa na wahudumu kwamba eneo hilo sio ofisi? inaweza kuwa ni Public Resting...
Dear colleagues from Nairobi,
I found a job in Nairobi as Graphic Designer (I have 3 years' experience in the field), I am a Tanzanian from Dar es Salaam. I hope when I reach in Nairobi to also join a Church to keep serving my Lord Jesus, I'm a Musician, playing instruments apart from my...
mkuu jamaa kaekeza facts...unajua maana ya neno "fact"? tabia husababishwa na asili au mazingira. hiyo ni fact...sio unapinga hoja bila fact. km ww hukuchezewa, rejea fact ya "mazingira".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.