Kwa mujibu wa WhatsApp, siwezi kuingiliwa mawasiliano yangu tena. Je, bado TCRA wana ubavu?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wadau,

Naomba wajuzi mnijuze na kunipa uafafanuzi. Kuanzia hivi karibuni WhatsApp wanaonyesha notification kuwa nipo secured na end-to-end sijui nini, na hata wao hawawezi kuintrude.

Sasa vipi kuhusu TCRA na sheria ya mtandao, bado wanaweza kungilia mawasiliano hayo kuchunguza post zangu zilizovunja Sheria ya Makosa Mtandaoni?

Asanteni.
 
Siku hizi suala la security mitandaoni ni issue...hakuna aliye secured..
 
Kuingilkwa kwa mawasiliano yako hakuepukiki mtandaoni ila je huyo alie-intercept hayo mawasiliano yako amekipata kile alichokikusudia ndio suala la msingi......katika encryption kuna njia (algorithms) nyingi za ku-encrypt hayo mawasiliano na baadhi ya njia hizo ni crackable ....so the point is inategemea na njia ambayo watsap wanaitumia ku-encrypt hizo data....
Lakini pia itategemea na server za whatsApp je wanahifadhi vipi data zao. Je wanahifadhi as a plaintext au ciphertext....
For now ni vigumu kwa TCRA kujua unatuma nini kwasababu data zinakuwa encrypted pale zinapokua transmitted.
 
Asante kwa elimu nzuri mdau.
 
Nimeam
Hueleweki maana kizungu na kiswahili humo humo na unadhani utaeleweka

Nimeamini jina lako ni mapesi. Kwani wewe ulitaka uandikiwe kilugha cha kwenu.
Nina uhakika kama jamaa angeandika kwa kiswahili sanifu hayo maneno husingepata hata neno moja.
 
Kuingilkwa kwa mawasiliano yako hakuepukiki mtandaoni ila je huyo alie-intercept hayo mawasiliano yako amekipata kile alichokikusudia ndio suala la msingi......katika encryption kuna njia (algorithms) nyingi za ku-encrypt hayo mawasiliano na baadhi ya njia hizo ni crackable ....so the point is inategemea na njia ambayo watsap wanaitumia ku-encrypt hizo data....
Lakini pia itategemea na server za whatsApp je wanahifadhi vipi data zao. Je wanahifadhi as a plaintext au ciphertext....
For now ni vigumu kwa TCRA kujua unatuma nini kwasababu data zinakuwa encrypted pale zinapokua transmitted.
Asante kwa msaada japo umemix sana hiyo lugha
 
Back
Top Bottom